Picha: Hali ya Daraja Muhimu kabisa kuingia Ulongoni B na Bangulo ama Kinyerezi kupitia Songas station.

Ng'onyo

Senior Member
Sep 2, 2011
145
72
IMG_20171102_092118.jpg
IMG_20171029_172910.jpg
IMG_20171029_172905.jpg
IMG_20171029_172817.jpg
IMG_20171029_172814.jpg
IMG_20171029_172659.jpg
 
Kumbe bado linapitika
Ni Boba boda tu na Bajaji.
Magari yanalazimika kwenda kupita Daraja la Pugu-Mnadani ambapo nalo lipo hoi kwa kipigo cha Mvua
IMG_20171029_173810.jpg

Kama unaona mbele kule kuna Lori limeshindwa kupitisha Mzigo wa Mbao kwahiyo wakawa wanafaurisha pale kwenye canter.
 
Asilimia 89 ya madaraja yaliyojengwa tanzania
Hayako kwenye ubora ulivyojengwa,mvua ikija tena hilo daraja litafagiliwa kabisa

Ova
 
Nilichogundua hapo nikuwa daraja halijapata hitilafu yoyote ila kipande cha barabara kabla ya daraja kuanza ndio kina shida..
Wakulaumiwa ni yule aliyetengeneza barabara na sio aliyetengeneza daraja, kama ni mkandarasi mmoja basi lawama zimfikie popote alipo
 
Ni Boba boda tu na Bajaji.
Magari yanalazimika kwenda kupita Daraja la Pugu-Mnadani ambapo nalo lipo hoi kwa kipigo cha MvuaView attachment 622427
Kama unaona mbele kule kuna Lori limeshindwa kupitisha Mzigo wa Mbao kwahiyo wakawa wanafaurisha pale kwenye canter.
kuna lile la kutokea mwembesupu kama unatokea pugu mnadaninalo hoii, mto msimbazi unapasua balaa
 
Uliongoni pana ninachanganya hapa nasafari ya hko ila sielew napafikaje Mara nptie gongo la mboto Mara kinyerezi
 
Haijafaa rangi hitaweza chokaa
Sasa hivyo viloba vya nini kama sio leta kipindupindu
 
Mbunge wetu c mwita waitara nakumbuka aliwah kuja kufanya mkutano pale uwanja wa shule ya msingi ulongoni,anaulizwa maswali juu ya ahad zake yeye anatuambia hayo mambo alimuuliza waziri mkuu sasa cjui yana connection gani
 
Back
Top Bottom