PICHA & HABARI: Sheikh ISSA PONDA na Watu Wengine 49 Mahakamani Kisutu

,.. sasa Manji akiwa Muislaam ndio haiwezi kuwa kosa? hadi auziwe nani Mkristu au Baniani?. ...
Sasa kwa nini usimpeleke mahakamani mwisilamu mwenzetu? Kulikuwa na haja ya kufanya uvamizi? Aliyemuuzia YM ni mkristu? Kwa nini tusielezane misikitini tukayamaliza waisilamu wenyewe badala ya kuviziana na kuwauzia habari makafiri? Kwa nini ikishindikana tusipelekane kwenye vyombo vya sheria? Je, kwa akili yako (na ya Ponda), kuvamia kiwanja na kuendesha ibada kwenye kiwanja kilichomilikishwa kihalali kwa mtu mwingine, ilikuwa sawa hiyo?
 
Mkuu nafikiri kinacholalamikiwa hapa,ni njia anayotumia,hata kmyupo sawa
Bila shaka nakubaliana na wewe lakini hana jukwaa la kufikisha ujumbe wake na pengine kutofautiana ktk madai ya haki za watu nchini kwetu hakukubaliki na ndio yalowakuta kina Ulimboka..Siku zote ukipingana na serikali lazima utakutana na watu wasiokubaliana na wewe na sii kazi rahisi kujipanga maana sisi wenyewe maskini na wajinga hivyo wanafiki hawatakosemkana. waswahili wanasema ktk msafara wa Mamba, utawakuta hata kenge..
 
Nimekwambia ya kwamba kama hujui jambo uliza kwanza.. Ponda kisha jaribu sana na amekataliwa sii mara moja na ndio maana hatakiwi.. Mkuu wangu usijaribu kabisa kufananisha ya Ukristu na Uislaam na ndipo utata ulipo, nyie mnachagua viongozi wenu kupitia dini yetu lakini wa huku lazima uwe mwana CCM watambuliwe na serikali na kuapishwa na rais. -Unafikiri hao vijana wameokotwa barabarani na iweje serikali imewahusisha na yeye wakati hakuwepo Chang'ombe!.

poleni sana kwa hilo
 
Upumbavu mkubwa na huyo anayeitwa Sheikh Ponda wao! Kamata weka ndani akae angalao miaka hata mitatu then akili itamkaa sawa. Labda atapata adabu ya kutulia na mkewe nyumbani kwake.
 
Mkandara ulipaswa kushukuru kwa Sheikh Ponda kukamatwa na kuhifadhiwa lupango kwa Usalama wake, the plan was to shoot him once and for good kama alivyomalizwa Sheikh Rogo. mtu muhuni kama Ponda kumtetea hata wewe utaonekana una walakini.

Wapo Masheikh nawafahamu wana misimamo mikali lakini huwezi kuwafananisha na huyu muhuni na mjinga kabisa Ponda, angalia mfano wa Sheikh Barsaleh ni mfano wa masheikh wenye upeo mpana na sina shaka na elimu yake itakuwa ni ya kuridhisha.
 
Last edited by a moderator:
we nae naona akili zako c shwari na ninahisi hujakamatwa na polisi ili kuunganishwa na hiyo kesi ya mbagala make ulikuwepo kwenye vurugu!!!!! Muislamu gani
unapongeza ponda kwa ujinga wake?
Kwa hiyo wewe unaamini Ponda anahusika na vurugu za Mbagala?.. Jamani ktk Uislaam hatuna viongozi kama nyie yaani Padre ama sijui Askofu wa Dar anajulikana kama kiongozi wa Wakristu Dar -es- Salaam.. Katika Uislaam hakuna we all the same..Huyo Ponda anakuwa kama mwalimu tu wa shule yake ama msikiti anaosalisha hivyo Mbagala sio msikiti wake bali anaheshimika tu kama msomi wa imani ya dini..Vyeo vipo huko Bakwata..

Usheikh tunaowapa hawa watu ni kutokana na ELIMU yao ya dini na sio cheo ktk jamii kama vile rank ya Askofu, hivyo ni sawa na wewe ukiwa na digree ya Uchumi haina maana wewe ni kiongozi wa wachumi wote nchini. Ponda ni sheikh wa Msikiti na mwanachama wa warsha ya waislaam wenye vuguvugu ya kutaka Usawa kwa wananchi wote ku share sawa cake ya Taifa. Kama anafanya makosa ni jukumu letu kumwelimisha tumpe majibu sahihi ktk maswala anayouliza..
 
Mkandara ulipaswa kushukuru kwa Sheikh Ponda kukamatwa na kuhifadhiwa lupango kwa Usalama wake, the plan was to shoot him once and for good kama alivyomalizwa Sheikh Rogo. mtu muhuni kama Ponda kumtetea hata wewe utaonekana una walakini.

Wapo Masheikh nawafahamu wana misimamo mikali lakini huwezi kuwafananisha na huyu muhuni na mjinga kabisa Ponda, angalia mfano wa Sheikh Barsaleh ni mfano wa masheikh wenye upeo mpana na sina shaka na elimu yake itakuwa ni ya kuridhisha.
Matola, mkuu wangu mimi simjui sana huyu Sheikh Ponda isipokuwa ktk maswala ambayo hata mimi naungana naye.. Nimeyasema sana hapa JF na nadhani tumebishana vya kutosha. Sisi hatuwezi kubadilisha kitu hivyo kama watawala wametusikia wametusikia. Sasa basi kama huyu Sheikh hufanya mambo mengine ambayo binafsi yangu siyajui nimeomba wala sii mara moja mniwekee hapa JF ili nami nimjue huyu mtu vizuri na pengine wengine wengi watamjua pia tuwe mstari mmoja.

Nimeomba video na sijui kuna taarifa zake redio Iman nimeomba nizione ili nami nijifunze lakini watu wanazungusha tu hakuna hata mmoja wenu aloniwekea ushahidi hapa wakati mnadai mnao.. Famillah, niwekeeni basi nami nimuone huyu Kilaza basi..Mnashindwa nini wakati ushahidi mnao...
 
we ndio mzembe kweli!umeacha kuongelea ya ponda unamvamia jk amekosea nini?
JK ni kiongozi dhaifu hizi vurugu za Waislamu zinaongezeka kwa sababu hajalishughulikia kwa umakini hili suala na wala hajaonyesha kwa dhati kuchukizwa na hizi vurugu.Intelijinsia iko wapi kabla ya hawa wajinga wachache hawajafanya vurugu?
 
sidhani kama kuna ujinga zaidi ya ulichokiandika hapa! Ukishindanishwa na huyo ponda wawezachukua nafasi!
Kwa matazamo wako ambao naona umekaa ki masaburi,nadhani na wewe uko sahihi
 
Sasa kwa nini usimpeleke mahakamani mwisilamu mwenzetu? Kulikuwa na haja ya kufanya uvamizi? Aliyemuuzia YM ni mkristu? Kwa nini tusielezane misikitini tukayamaliza waisilamu wenyewe badala ya kuviziana na kuwauzia habari makafiri? Kwa nini ikishindikana tusipelekane kwenye vyombo vya sheria? Je, kwa akili yako (na ya Ponda), kuvamia kiwanja na kuendesha ibada kwenye kiwanja kilichomilikishwa kihalali kwa mtu mwingine, ilikuwa sawa hiyo?
Nashindwa kukujibu lakini uhumi nauweza sana..Alopeleka mashtaka ni Manji kwa hiyo kama mnaweza mfanyieni sio kwenda choma makanisa. Kiwanja kauziwa chini ya meza ana anajua hilo, Tanzania yetu mtu anaweza kuuza kiwanja hata wewe mwenyewe haupo acha mbali kiwanja cha Dini nadhani unakumbuka watu waliwahi kuuana huko Tegeta mwaka jana kwa maswala haya ya viwanja. Jambo moja tu muhimu kiwanja kile ni kwa minajiri ya maswala ya dini kama ramani ya mji inavyojieleza, sasa huyo mnunuzi alinunua ili ajenge kitu gani?
 
Ngoja akaolewe na Manyapara huko.

Nilitoa coment kama hii kwenye akaunti yangu ya kizushi JF, ikapigwa life ban. Jesus lives forever......Modz< release BIN BOR....HAKUNA tofauti kati ya hii na ile,,,,,,au na ninyi ni agents?
 
haya mambo ya uisilamu na ukristo mi simo?? heri yangu ninaeamini kwenye Newton's Laws....ukikojelea kitabu nakianika, afu baadae naenelea na Laws zangu, kama kawa kama dawa
 
Kwanini harejeshwi kwao Burundi huyu mjinga asiye na elimu wala namna ya kuishi isipokuwa kwa kudandia masuala ya dini ambayo nayo hana elimu nayo kama alivyosema shehe mkuu.
 
dini zenyewe mliletewa na wakoloni kwenye
Mitumbwi, leo hii hamna la maana mnalofanya
kutwa kuchwa ni kukashfiana na
kudharauliana...
Wenzenu waliowaletea wako makwaoo
wanafanya shughuli za maendeleo, nyie kila siku ni tafrani tu, uchumi wa nchi mbovu, maisha
yanazidi kuwa magumu kila kukicha aaaggh.... mbaaaav
 
Kumbe makosa yenyewe ndio haya? mimi nilidhani Sheikh Ponda amehusika na vurugu za Mbagala kumbe maswala ya Kiwanja.. jamani kiwanja kile ni cha waislaam na Sheikh Mkuu aliingia deal na kukiuza kinyume cha waislaam wenyewe kujua..
Sheikh Mkuu Simba amekuwa akiuza mali za Waislaam kwa kujinufaisha yeye hivyo hawa vijana wamefanya kweli makosa kuvamia eneo ambalo tayari limeisha uzwa lakini pia nani anayempa mamlaka Shiekh Mkuu huyu wa Bakwata kuuza mali za Waislaam? Hili ni tatizo la Waislaa wenyewe hivyo tunashangilia kipi haswa....


Kama kweli shehe simba kauza kiwanja bila kufuata taratibu basi ponda na wenzake walipaswa ku deal na simba kama ni kumpeleka mahakani kumuua au vinginevyo kulingana na taratibu zenu.

Kuvamia mali ya watu huku mkijua kabisa walishauziwa ni kutoelewa mambo

Ponda kama anataka kuwa shehe mkuu afate taratibu
 
lazima bodi ya wadhamini ilikubali otherwise yeye kama shekh mkuu haneweza kuuza. hao jamaa hawaitaki bakwata mpango ndiyo huo. by the way achane ubinafsi eti ni mali ya waislam , kwani mlichanga hela kununua hicho kiwanja? kama sivyo kwanini kinapouzwa muulize?

Mbona unaongea mambo kama mtu aliyechanganikiwa!!!kweli unajua maana ya taasisi au jumuhiya??basi husilalamike tena serikali inaposhindwa kuleta maendeleo kwa watu wake!kuanzia leo kila kitu anza kumdai baba yako pamoja na mama yako i.e umeme,ugumu wa maisha,maji..pumbavu wewe
 
Back
Top Bottom