Picha: Habari nyuma ya habari - Jinsi TFF kulivyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Habari nyuma ya habari - Jinsi TFF kulivyo

Discussion in 'Jamii Photos' started by EMT, Oct 4, 2012.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Waandishi wa habari walienda kwenye chumba cha habari cha chama cha mpira wa miguu Tanzania (TFF) kupata habari wakakutana na habari nyingine kama inavyoonekana kwenye picha.

  [​IMG]

  Pichani ni sehemu ya paa la chumba cha habari cha chama cha mpira wa miguu Tanzania (TFF),ambacho kinatumika kukutana na Wanahabari wa vyombo mbalimbali kuhusiana tasnia ya michezo kwa madhumuni ya kuihabarisha jamii.Kwa wanahabari za Michezo naamini kabisa mtakubaliana na mimi kuhusiana na hali iliyopo ndani ya ofisi hiyo,ambayo kimsingi nayo una umuhimu wake mkubwa,lakini imetelekezwa kama hivyo.

  [​IMG]

  Chombo cha kutoa ubaridi ambacho kiliwekwa angalau kupunguza joto la Daslam ofisini humo,lakini kwa sasa ndege wamepata mahala pa kujipumzikia na kuzaliana,lakini sio ishu.

  [​IMG]

  Taa nazo ziko hoi zinaning'inia tu, jambo ambalo ni hatari kwa usalama wa watu.

  [​IMG]

  [​IMG]

  Baadhi ya Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakisubiri wahusika wa TFF, kukutana na Wanahabari hao kwa ajili ya kuwapa taarifa mbalimbali za michezo, ili jamii ihabarishwe.


  [​IMG]

  Dude la kuwekea Maji ya Kunywa ambalo sijui kwa mara ya mwisho lilitumika lini,kwani limejaa vumbi, haliangaliwi tena.
  picha na maelezo via Ahmad Michuzi
   
 2. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Na hela zote wanazokusanya kama gawio lao kwenye mechi na ruzuku toka FIFA wanashindwa hata kukarabati..? Ila nauli kwenda SA au Ulaya au Marekani faster tu zinapatikana.. Ati niliamini Tenga ni tofauti na wale...
   
 3. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,663
  Likes Received: 21,886
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kumfahamu mtu nenda anapoishi
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Aiiiiibu jamaaaaaa,,,,,,,,hawa jamaa hawapewi ruzuku na sirikali????ukiacha FIFA???????
   
 5. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Siwezi kushangaa. Kama mtu hana hata choo nyumbani kwake, atawezaje kutunza mali ya umma? Nadhani kuwa tunahitaji kuongeza vigezo vidogo vidogo kama usafi binafsi na attitude kuhusu umaridadi ili vitumike kwenye kuajiri watu!
   
 6. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,682
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kumbe ni vingi vinavyorudisha mpira wetu nyuma!
   
 7. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mhusika ni nani hapo?
   
 8. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huko muendako naona mtatupia picha za nyumba zao wanazoishi. Msitoe ya Katibu tafadhali.
   
 9. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Siyo anayekaa hapo?
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  subirini mtangaziwe mapato ya simba na yanga sasa lol
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Aseee............nimecheka sana!!!
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  halafu kila siku tunailamu ccm bwana hapa. Miafrika ndio tulivyo
   
 13. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Yea, hapa atalaumiwa CCM. Easy target.
   
 14. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Ndomaana tupo wa 134 kwa ubora wa soka duniani.
  Ndo maana mipira wetu aiishi lawama kila kukicha.
  Ndo maana mechi inachezwa mapato sh 30,000/=
  Tuanalalamika nini nenda kwa ofisi za vilabu ujioneee
   
 15. awp

  awp JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  wakutuwafanyia usafi hayupo, maintenance officer hayupo, waliobaki mabig bosses so hawana muda.
   
 16. Anthony Lawrence

  Anthony Lawrence JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,544
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  This is very strange indeed.
   
 17. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kuna mtu aliwahi kuleta bandiko hapa kuwa laana yetu inatokana na kutokuwa na ubalozi wa nchi moja ....sitaki kukubaliana na hii hoja japo haibadilkishi huo ukweli kuwa we were may be cursed by someone!
   
 18. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Who is that someone then? Naona as usual kila tatizo tunatafuta mchawi wakati matatizo tuna create sisi wenyewe.
   
 19. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Nadhani kuna watu hawafanyi kazi yao sawasawa. Mojawapo ya jukumu la TFF ni kutunza mali za shirika, sasa huu ni uzembe na wanatakiwa kuchukuliwa hatua. Hivi kweli nyumbani kwako unaweza kuacha nyumba yako iwe hivyo??
   
 20. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Nadhani kuna watu hawafanyi kazi yao sawasawa. Mojawapo ya jukumu la TFF ni kutunza mali za shirika, sasa huu ni uzembe na wanatakiwa kuchukuliwa hatua. Hivi kweli nyumbani kwako unaweza kuacha nyumba yako iwe hivyo??
   
Loading...