PICHA: Godbless Lema alivyotingisha Jiji La Arusha Jana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: Godbless Lema alivyotingisha Jiji La Arusha Jana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Sep 21, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]
  Msafara wa aliekuwa mmbunge wa jimbo la Arusha mjii ukitokea mahakamani kuelekea katika ofisi za chama
  [​IMG]
  [​IMG]
  Picha juu na chini wamama wakiwa wanapita njiani wakishangilia aliyekua mbunge wa arusha mjini -Chadema Mh,Godbless Lema wakati akipita kutoka mahakamani

  [​IMG]
  [​IMG]
  Msafara wa aliekuwa mbunge wa jimbo la Arusha mjini-Chadema Godbless Lema ukitokea mahakamani kuelekea katika ofisi za chama
  [​IMG]
  Gari ya aliyekua mbunge wa Arusha mjini(CHADEMa)Godbless lema likiwa inasukumwa na mashabiki mara baada ya kutoka mahakamani
  [​IMG]
  Aliyekua Mbunge wa arusha mjini(CHADEMA)Mh Godbless Lema akiongea a wananchi nje ya ofisi ya chama mara baada ya kutoka mahakamani leo

  [​IMG]
  wananchi wakiwa nje ya ofisi ya chama wanamsikiliza aliyekua mbunge wa arusha mjini-Chadema Mh Godbless lema
  [​IMG]
  Hawa ni makamanda waliokuwa wamevalia Tisheti za M4C huku mungine akiwa ameshona kanzu kabisa
  [​IMG]
  Gari ya polisi ikiwa inapisha maandamano yapite
  ----
  RUFAA ya kupinga kuvuliwa ubunge wa aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA), ambao ulikua inatarajiwa kusikilizwa leo na jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa chini ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande na wenzake, Natalia Kimaro na Salum Massatiumesikilizwa ila kesi imearishwa.


  Kesi hiyo ambayo ilikuwa inatolewa maamuzi jana imeairishwa na jaji mkuu wa Tanzania kwa kile kilichodaiwa kuwa wakili wa upande wa mkata rufaa na wakili wa serekali kupata matatizo ya kufiwa na baba yao mzazi


  Jaji mkuu alifikia hatua ya kuamua kesi hiyo ihairishwe hadi pale ifikapo October 2 mwaka huu ambapo ndipo imesemekana huku ya kesi hiyo ndio itakapo tolewa.


  Mara baada ya kesi hiyo kuhairishwa umati mkubwa uliokuwepo mahakamani hapo uliondoka hadi katika ofisi za chama cha demokrasia na maendeleo Chadema ambapo aliyekuwa mmbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema alongea na wananchi walikuwa wakimsindikiza nae aliwasihi wananchi hao kuwaombea majaji wa kesi hiyo ili waweze kutoa hukumu ya haki.


  "mimi sio kwamba nataka nishinde na wala siogopi kushidwa ila naomba tuwaombe hawa majaji wa kesi hii ili waweze kutoa maamuzi ya haki yasiyomgandamiza mtu yeyote,na napenda pia kuchukuwa nafasi hi kuwaeleza kuwa jumanne tunatarajia kufanya mkutano katika kiwanja cha ngarenaro ambapo hapo ndipo tutakapo fungua kampeni zetu za udiwani rasmi"alisema lema


  Alibainisha kuwa mbali na kuzindua kampeni pia wanampango wa kuzindua mikutano ambayo itajulikana kufa au kupona ,mkutano ambao utafanywa nyumba kwa nyumba pamoja na kitongoji kwa kitongoji
   
 2. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,537
  Likes Received: 10,458
  Trophy Points: 280
  inatia matumaini, viva wanaarusha kupitia kwenu Tanzania nzima itabadilika.!
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Kufa na kupona na M4C ni miradi miwili tofauti.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Duuuuu si mchezoooo T2015 CDM lazima lisajiriweee!! M4C with No Apology.
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  hio gari ya polisi beacon yake hapo juu ni ya CDM pia? Naona rangi za CDM wasije sema CDM wanawadanganya Polisi
   
 6. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hiki ndicho kimemtisha CJ Chande hadi kukukusudia kuihamishia kesi Dar es salaam kwakuwa alikuwa ameshaandaa hukumu ya "kichina".
  Sasa anajua dhahiri kwamba kutakuwa na reaction gani toka kwa wananchi wa Arusha siku atakaposoma hukumu yake ya "kichina".
   
 7. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ni kwa ileile maana aliyosemaga Baba wa Taifa (JK Nyerere), akihimiza kilimo cha kufa na kupona.
   
 8. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  Nimeipenda sana hii ina ujumbe tosha!
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hueleweki.Tafuta lugha mbadala sijui ni kuchanganyikiwa na matukio ya kwenye picha?
   
 10. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
   
 11. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Mkuu utasababisha CCM wasiwe na imani na polisi, ukizingatia kuwa polisi walipisha maandamano yapite. Na hiyo Mercedes ya Lema sijui ya mwaka gani!
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  wahamishie Ubelgiji....wapeleke Yugoslavia.....kinachomatter hapa ni nini kinajiri kuhusu mbunge wetu.....tunataka kujua kila kitu......labda hukumu itoke na tusielezwe.....wafanye siri....vinginevyo.....lazima kieleweke.....
   
 13. omben

  omben JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 669
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Kwenye gari ya matangazo,kuna andiko liko nyuma ya bodi limeniacha hoi.
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Una maana gani
   
 15. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Miradi ?? Basi itabidi tumwalike 'mzinduzi' aje azindue miradi hii !!
  Maana 'mzinduzi' alikuwa busy sana wiki hii akizindua miradi ya barabara na daraja!!
   
 16. k

  kijereshi JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Sio ishara nzuri sana kwa chama tawala hata ukitazama nyuso za watu zinonekana zenye matumaini kwa hicho chama wanacho kishangilia
   
 17. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 18. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #18
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Hii nimeicheki nikavaa miwani, nikavua miwani, nikabadilisha miwani bado hii kitu siielewi ni ya mwaka gani pengingine man
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. m

  majebere JF-Expert Member

  #19
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Mi nilifikiri ni maonyesho ya gari za kizamani, hivi hizo ndio mlizoleta kutoka UK? Kama M4C ndio usafiri wao ni huo basi zile chopa zitaua watu.
   
 20. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #20
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280


  Tutakusanyika the new machinga complex (NMC), wengine Sanawari stand ya tax
  Wengine. Tindigani Kimandolu
  Wengine Mianzi
  Wengine Ngarenaro
  Wengine Patandi
  Wengine Leganga
  Na kila mahali, tutafunga Big Screens afu tutastrwam Live. Tutalia au kushabikia pamoja. Hata wakaisomee hiyo hukumu Iraq.


  Sijui watuziaje habari. Sijuiiiiiiiiii
   
Loading...