Picha: Gamba jipya W. Malecela yuko wapi? Bilal akutana na Watanzania waishio New York

post ya kitoto sana, imeshindwa kuaddress chochote zaidi ya kujisifia

somethings never change!!

- Utoto ni nia yako ya kunigombanisha na chama na hii thread!, Kwa nini hukujiandika wewe si ulikuwa kazini bro na hukuwepo kwenye mkutano! ha! ha! ha! ha! talking about utoto! ha! ha

William @ NYC, USA.
 
Huna maana mtoto wa fisadi ni fisadi tu!!! Acha vitisho vyako. Tukiikomboa nchi yetu you will be in trouble, just wait and see

- Well, ni mambo ya territory naona unahangaika sana nia yako ilikuwa kunigombanisha na chama, umeshindwa sasa tafuta mbinu nyingine, ha! ha1 aibuu mtuzima, ulikuwa kazini tunajua maana kazi yako Jumapili ndio ina-pick kwa hiyo huwezi kuja kwenye mkutano! ha! ha! pole sana mkuu!

William @ NYC, USA.
 
- Utoto ni nia yako ya kunigombanisha na chama na hii thread!, Kwa nini hukujiandika wewe si ulikuwa kazini bro na hukuwepo kwenye mkutano! ha! ha! ha! ha! talking about utoto! ha! ha

William @ NYC, USA.

- Well, ni mambo ya territory naona unahangaika sana nia yako ilikuwa kunigombanisha na chama, umeshindwa sasa tafuta mbinu nyingine, ha! ha1 aibuu mtuzima, ulikuwa kazini tunajua maana kazi yako Jumapili ndio ina-pick kwa hiyo huwezi kuja kwenye mkutano! ha! ha! pole sana mkuu!

William @ NYC, USA.

- Tunajenga hoja kwenye ishus za taifa sio kukenua meno! ha! ha! pole sana mkuu, ha! ha! huu sio uwanja wa kukenuliana meno ni kule Facebook hapa fimbo tu za taifa, pole tena!

William @ NYC, USA.
Mbona unakimbilia kugombanishwa na chama hatuoni hoja yeyote hapa, kumbe unajua Facebook ni sehemu ya kukenulia meno mbona umesema picha yako na Bilal iko kule ina maana inakenua meno kule, tatizo lako uko selfish sana unataka kila thread ikusifie for nothing.
 
Jamaa yangu aliniambia yupo US anatafuta maisha sasa mbona simwoni hapa?? au aliogopa watu wa uhamiaji nini? ha ha ha

Hawa jamaa warudi tugawane UMASKINI...utaishije nchi za wenyewe kila kitu kimeshatengenezwa? harafu unadai wewe ni mzalendo?

Uzalendo ni pamoja na kujitoa nafsi yako kwa manufaa ya wenzio. Rudini tupambane kuipigania nchi yetu dhidi ya ukoloni mamboleo - mambo huku ni magumu sana - dola moja leo ni Tshs 1590 -- Mfumuko wa bei usipime - sahani mama ntilie mapka sh 1500. Kilo ya unga 900 hadi buku.

Clap, clap, clap....bravo ! Well spoken like a true patriot ! Problem is, personally I find it hard, real hard to trust anything coming out anybody who still clings to the idea that my beloved country cant exist without CCM at the helm. For almost 50 year CCM has done nothing other than plundering the wealth of this nation like the end of world is just around the corner. And yet somebody still has the impunity and audacity to stand before me and without even blinking an eye, claim otherwise.

No, Mkuu Lole Gwakisa, just give me one good reason why you still have any faith in CCM which over the years has evolved to become something closer to a haven of thieves than a political party. Why, why oh brother, just give me one reason why after all these years I should still give you any time of day to listen to your well orchestrated lies and promises. Many of us, you must understand, are hurting so much inside that it is just by miracle I am here responding nonviolently to you.

If you want others to understand what you understand, they will ask you also to understand what they understand; that they still have faith and trust CCM. CCM is dynamic political party with failures and success stories, who doest have one?
 
Which side does CCM belong at the moment failure or success.
 
Mbona unakimbilia kugombanishwa na chama hatuoni hoja yeyote hapa, kumbe unajua Facebook ni sehemu ya kukenulia meno mbona umesema picha yako na Bilal iko kule ina maana inakenua meno kule, tatizo lako uko selfish sana unataka kila thread ikusifie for nothing.

Huyo ni William Gamba Jipya hahahahahah William @ NYC, USA, Mgogo watu watajuaje kama yuko majuu?
 
- Utoto ni nia yako ya kunigombanisha na chama na hii thread!, Kwa nini hukujiandika wewe si ulikuwa kazini bro na hukuwepo kwenye mkutano! ha! ha! ha! ha! talking about utoto! ha! ha

William @ NYC, USA.
you are right kabisa... na ndio maana sikuja kusema sijui nilikua na ritchie, nimeonekana kidogo sijui huwa nafanya hivi nk. sometimes silence can kill a lion, no need to boast and boost unneccesarily

as i said, somethings never change, even with multiple IDs
 
Mbona unakimbilia kugombanishwa na chama hatuoni hoja yeyote hapa, kumbe unajua Facebook ni sehemu ya kukenulia meno mbona umesema picha yako na Bilal iko kule ina maana inakenua meno kule, tatizo lako uko selfish sana unataka kila thread ikusifie for nothing.

his shadow is kicking him harder everyday...

Hoja ya mleta hoja haina mashiko, lakini na majibu yake hayana hata mashikio
 
- Mtoa mada heshima yako sana ndugu yangu, sikujua kuwa ninabeba uzito namna hii umeniona na picha hizo nimo sana ila zangu naona umeficha ili uje ufungue thread hapa maana ulijua ikiwa na jina langu on a negatvie tone, basi itapata wachangiaji wengi na utaweza kuki-promote chama chako ambacho mimi sio mwanachama, now what is your point kwamba next time nitajikimbiza ili nijiunge na hicho chama ili na mini nitokee kwenye picha zako humu na michuzi? ha! ha! ha!

- Well, people kwenye mkutano nilikuwepo na picha yangu na Makamu, nimeweka facebook maana kule ndio mahali pa picha hapa ni Taifa na politics sio mahali pa kukenuliana meno hapa ebo!, sasa mkuu my message to you mleta mada, next time you play again this childish game it will be on your own risk, si unajua I looooove this game!

- Wewe ungeweka tu picha zako na kusema kuhusu chama chako na uongozi wako, lakini kunitumia jina langu kwa faida zako binafsi, sikufurahishwa sana mkuu, au ungeniomba nikusaidie badala ya kujaribu kunizunguka, I am very dis-appointed kwa sababu najua who you are, hata hivyo nitakutafakari sana na zaidi ili kujua what to do ili usirude tena na hizi cheap pomotion na nitakuheshimu sana kama utanipigia simu kuniomba radhi kwa this childish game!

Thaanks Mkuu!

William @ NYC, USA.

Niliona hapa kwenye JF kuwa unataka kualika watu wenye Magamba mpaya kuja NY kufungua tawi la Chama Cha Mapinduzi

Kuhusu picha ukiangalia blog ya Mohamed Dewji yeye ndio aliyeweka his picha; sasa kama alikuondoa kwa manufaa ya CCM Mpya Sijui; Sababu Ndani ya CCM kuna watu wengi hawafurahii Maamauzi ya Mzee Malecela.

Calling Me Cheap... To do something, say something, see something, before anybody else - these are things that confer a pleasure compared with which other pleasures are tame and commonplace, other cheap and trivial

go to http://mohammeddewji.com/blog/
 
go to Mohammed Dewji Blog
Duh kumbe kelele zote hizo ni kwa nini picha yake haipo lah kazi kweli kweli si ungemchora yakaisha.
 
Mkuu umelitazama hili suala kwa JICHO LA MAKENGEZA kidogo. Ohh...sorry nime"tukana" tena.
Mkuu MTM you look offended, please dont be.
But look at almost all threads that are critical of CDM and related happenings.
What follows ia a barrage of insults, booing down of honest and helpful contributions.
It is a clear fact that there are many more younger and energetical young people on JF that are actual CDM followers.
It is upon members like you to educate the other cdm/JF to counter criticism with logic,fact and figures.
I have always argued that Dr Slaa is respected for putting many of his assertions in a very logical manner.
And for that he has won many a hearts for his debating skills, mine included.
Dont we have a trickle down effect in this line of debates, as far as CDM is concerned?

Mkuu ukiwa na critique kwa policy au tokeo lolote against CDM , kitu cha kwanza utasikia:
"Katumwa na Nape huyo", "Nape at work", "Magamba huyo"
This has turned JF into a shouting match arena with no thinking at all going into the subject matter.
As a matter of fact, your top leaders have given CCM leaders a good walloping that they very much deserve.
I cannot be appreciative as much to those CDM members in JF.
It is now more or less normal for a ny critical post against CDM to go unanswered, and this is complacency.
Complacency leads to a situation that one goes on to make fatal mistakes.
 
Back
Top Bottom