Picha: Gamba jipya W. Malecela yuko wapi? Bilal akutana na Watanzania waishio New York

Huyo mtoto wa mtera that day ALIKUA NA MAMBO MAWILI 1. EXILE NA DEMU WA KICHINA au 2. ALIKUA ANAOSHA VYOMBO HOTELINI ALIPOAJILIWA.
 
Matola mkuu,

Nimekukosea nini hadi kuniita msukule?

Hata kama tulisha tofautiana katika hoja japo sikumbuki, kwa nini basi unitusi hivi?

Respect!!
Mkuu usijali sana
Matusi ni nguzo kuu ya itikadi ya chama chao,japo haiwaongezei afya wala shibe
 
Tuliokusanyika kumsikiliza Mr Ghalib Bilali siyo Watanzania, tulikuwa wote Wazanzibari na hapa New York hatuko wengi, tuliomba wazanzibari wenzetu toka NJ, na DC. Mngejaribu nyie wabara kuja kwenye kikao chetu mngekiona cha moto.
 
Kwanini Chuki hiyo kwa Wabara, wakati Wazanzibar wote wanaishi Dar-es-salaam?
Kuna Mtu kwa Jina la Temba yuko hapo as well... Bara hatubaguani hivyo...
 
Maamuzi binafsi hatuna haja ya kuyadili, pale palikuwa muafaka kuulizia harakati za kujivua gamba zimefikia wapi hasa ukizingatia ndugu zetu mliopo nje mpo nyuma kidogo kihabari.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Umekosea sana... and i never expected this from you aise
Mkuu MTM you look offended, please dont be.
But look at almost all threads that are critical of CDM and related happenings.
What follows ia a barrage of insults, booing down of honest and helpful contributions.
It is a clear fact that there are many more younger and energetical young people on JF that are actual CDM followers.
It is upon members like you to educate the other cdm/JF to counter criticism with logic,fact and figures.
I have always argued that Dr Slaa is respected for putting many of his assertions in a very logical manner.
And for that he has won many a hearts for his debating skills, mine included.
Dont we have a trickle down effect in this line of debates, as far as CDM is concerned?

Mkuu ukiwa na critique kwa policy au tokeo lolote against CDM , kitu cha kwanza utasikia:
"Katumwa na Nape huyo", "Nape at work", "Magamba huyo"
This has turned JF into a shouting match arena with no thinking at all going into the subject matter.
As a matter of fact, your top leaders have given CCM leaders a good walloping that they very much deserve.
I cannot be appreciative as much to those CDM members in JF.
It is now more or less normal for a ny critical post against CDM to go unanswered, and this is complacency.
Complacency leads to a situation that one goes on to make fatal mistakes.
 
Thanks nimekuelewa!!!
 
Tuliokusanyika kumsikiliza Mr Ghalib Bilali siyo Watanzania, tulikuwa wote Wazanzibari na hapa New York hatuko wengi, tuliomba wazanzibari wenzetu toka NJ, na DC. Mngejaribu nyie wabara kuja kwenye kikao chetu mngekiona cha moto.
..............mdebwedo!!!:ballchain:
 
Tuliokusanyika kumsikiliza Mr Ghalib Bilali siyo Watanzania, tulikuwa wote Wazanzibari na hapa New York hatuko wengi, tuliomba wazanzibari wenzetu toka NJ, na DC. Mngejaribu nyie wabara kuja kwenye kikao chetu mngekiona cha moto.

Admin wakikosea wakaunganisha Hii Id yako na ID zako nyingine aibu utakayouwa nayo. teh teh teh teh
 
Baadhi ya wachangiaji ni vizuri muwe makini na mnachoongea. Sio kila mtanzania aishiye new york na vitongoji vyake ni mwana ccm. Hiyo picha inajitosheleza yenyewe, kuna watanzania wengi sana kanda hii, wanachama tu wamefika 110 na kuna ambao si wanachama pia. Na pia mkumbuke jumuia ya watanzania newyork haifungamani naupande wowte ule kisiasa. Hilo tulihakikishiwa siku ya mkutano wa kwanza wa jumuiya mwezi wa nne nyumbani kwa balozi huko mount vernon. Hapo ilikua ni jambo la utanzania zaidi kuliko chama, na pamoja na hayo athari zake zimeonekana kwa picha, kwani ni ver likely wana ccm kuhudhuria ujio huu kuliko wanachadema(mimi nikiwamo). Go figure.:attention:
 
Tuliokusanyika kumsikiliza Mr Ghalib Bilali siyo Watanzania, tulikuwa wote Wazanzibari na hapa New York hatuko wengi, tuliomba wazanzibari wenzetu toka NJ, na DC. Mngejaribu nyie wabara kuja kwenye kikao chetu mngekiona cha moto.

Wadada wazanzibar gani hamjavaa hata hijab? Au mmesahau culture yenu! Na nyie wakaka mbona lips zinang'ara hvyo?Mmesha kuwa Elton John eenh?
 
Kuna wageni jamvini naona wanamwita W Malecela gamba jipya . The man ni CCM miaka yote na amekuwa hapa muda sana ni sasa kaamua kutumia jina lake ila ana jina lake maarufu sana hapa .What I like abour William aka FM akianza na kitu hadi ajue mwisho wake .Na ni mstaarabu si kama CCM wengine akiwa amekosea atakuja hapa na kusema Wazee samahani .Ila asema na yeye ana mambo yake magumu tu akimpenda mtu hahahaah . William tuwasiliane namba yangu ni ile ile .
 
Nipo tayari kukoselewa na pia natanguliza kuomba samahani kwa yeyeto nitaye mkwaza; Jamani mbona mi naona kama vile hiki kikundi ni cha waislam! au nakosea? pia mbona wamekaa kama wagongwa au macho yangu! kama wengi wao siyo wagonjwa basi wengi ni wazee sana ila wanajifanya vijana.

Ni baini na kudhani ni kikundi cha waislam kwa kutumia msafara wa Bilal alionao na pia majina yaliyotajwa ya hao waungwana waliokutana na Bilal.

Anyway Je na hapo fedha za Umma zimetumika?!
 
Back
Top Bottom