PICHA: EDWARD LOWASSA na Amani Karume hawapo ndio Viongozi wa CCM 2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: EDWARD LOWASSA na Amani Karume hawapo ndio Viongozi wa CCM 2015?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Oct 29, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Wanaonekana Wanatunzwa VIZURI; Afya BORA hakuna SHIDA!!!
   
 3. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mie naona hawapo kwa vile hawafai. Lowassa alituibia kwa kuingiza Richmond huku Karume akiondoka madaraka kwa shingo upande. Hata hivyo simuoni Salimuni Amri ingawa naye alikuwa wa hovyo tu. Kweli wanatunzwa vizuri. Wanalifilisi taifa kwa jinsi walivyojipangia marupurupu mengi bila stahiki wala kuangalia hali yetu ya uchumi.
   
 4. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  dah ... mtoto wa mkulima amepiga kiatu bomba ... ila pa kufungia mkanda Bado ni tatizo
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  nimemiss smile ya mzee mwinyi...i used to like the guy...kipindi chake ndio kilikua kipindi watu walikua na pesa mtaani na wengi wao walitengeneza hela za kihalali hata sio uwizi...mkapa akaharibu kila kitu alivyoingia...EL itakua hakupewa mualiko maana sidhani ka JK anataka EL awe anywhere near the state house
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Vipi Je Mramba na Majumba ya Serikali Mengine bado yeye na Mama wanayamiliki
  Vipi ile Mikataba ya Madini ya Dhahabu alivyogawa kama PEREMENDE?

  Wote hao Wamechota vya kutosha

  SANA SANA wasafi ni SALIM A. SALIM na JOSEPH WARIOBA...
   
 7. M

  Mundu JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Ya lini hii picha?
   
 8. a

  awuyegani Senior Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii kali, lakini katika wote mzee ruksa ndio kapendeza
   
 9. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Watu mna hungover na EL eeeh
   
 10. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Waziri mkuu wangu kama kawaida yake kajiachia apate hewa.
   
 11. Kambaku

  Kambaku JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,987
  Likes Received: 2,889
  Trophy Points: 280
  Nchokozee baba William, Le Mutuz, kapiga four angle! du!
   
 12. Haliali

  Haliali JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  tai nyekundu
   
 13. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Mhhhh, mbona Sumaye na Warioba tai zao zinafanana??? Kulikoni???
   
 14. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,598
  Trophy Points: 280
  Mrema je?alikuwa Naibu Waziri Mkuu jamani mpeni na yeye shavu la milele atese alisaidia sana CCM kipindi chake!mtamuenzi lini au kw akumpa ubunge??
   
 15. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,558
  Likes Received: 1,912
  Trophy Points: 280
  Huwa akivaa suti utadhani kalazimishwa!lol!
   
 16. c

  clasi Senior Member

  #16
  Sep 19, 2014
  Joined: May 5, 2013
  Messages: 196
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Safi sana naipenda nchi yangu kwa kupokezana uongozi kwa njia ya amani na kujali viongozi baada ya kustaafu ndo maana hakuna anayeogopa kustaafu maana kila mmoja wao anajua hata baada ya kustaafu serikali bado itamtunza
   
 17. H

  Hute JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2014
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,918
  Trophy Points: 280
  nani mfupi kuliko wote hapo....mtoto wa mkulima ametokelzea
   
 18. H

  Hute JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2014
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,918
  Trophy Points: 280
  mkapa, warioba na salim ndio vichwa.
   
 19. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2014
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mkapa kichwa Gani kumpeleka Nyerere - GVT Hospital wakati aliishi USA na anaijua MAYO CLINIC is the best in the WORLD kwa kutibu CANCER especially BLOOD CANCER...

  Kama ni pesa... hapo alikuwa bado hajagawa Machimbo ya Madini bure baada ya Mazungumzo na WORLD BANK na IMF
   
 20. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2014
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Pinda amevaa makaputura mangapi ndani?
   
Loading...