PICHA: Dkt. Slaa akiwasili eneo la mkutano wa kampeni za Uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Mwawaza

attachment.php

checkishia watu wanavyomuangalia usoni.hawaamini kama wamemsogelea rais karibu namna hii. checkishia huyo jamaa mwenye red tshirt.
 
naomba shngi mia!!


I missed your posts man.

Unataka shing ngapi? Mia?
Tuma tenga la Samaki Kimara Baruti kwanza.
Ha ha ha ha!

Nipo kef mkuu, na muda umeniishia....
kwa hiyo hata ukipost sintaweza kujibu. Kesho basi.
Ngoja niwai nyumba kabla ya swala ya adhuhuri...
If you know what I mean!
 
I missed your posts man.

Unataka shing ngapi? Mia?
Tuma tenga la Samaki Kimara Baruti kwanza.
Ha ha ha ha!

Nipo kef mkuu, na muda umeniishia....
kwa hiyo hata ukipost sintaweza kujibu. Kesho basi.
Ngoja niwai nyumba kabla ya swala ya adhuhuri...
If you know what I mean!

take care.
 
Dr. Slaa, go our president!! Sina kadi ya chama chochote kile lakini 2015 mimi na familia yangu, wale ninaowasaidia kama extended family, marafiki, najirani wote nahakikisha watapiga kura!!
 
Ina maana leo Dkt. kafanyia mkutano sokoni? Maana hilo eneo la mkutano linaonekana kama sokoni hivi
 
may GOD protect and guide you Dr. and give you the power and authority which HE has already prepared for you for a very long time!AMEN.
 
Ninapoona Makamanda wako kazini napata tumaini jipya maana baada ya kumaliza makanisa wataanza majumba yetu na maisha yetu yamekuwa ya hofu kama albino baada ya hawa ccm kuongoza bila kanuni na sheria
 
Back
Top Bottom