CCMkuelekeaUchaguzi
Senior Member
- Aug 18, 2015
- 179
- 77
Rais Magufuli akiongea na wananchi mjini Kibondo wakati anaingia mkoa wa Kigoma kufanya kampeni leo Alhamisi Septemba17, 2020.
Ni kosa kisheria kuwatumia watoto kwenye campeni. Mlimlaghai dogo mkampandisha kwenye mti
And this is a calling from Jesus Christ.Rais Magufuli akiongea na wananchi mjini Kibondo wakati anaingia mkoa wa Kigoma kufanya kampeni leo Alhamisi Septemba17, 2020.
View attachment 1572764View attachment 1572765View attachment 1572766
Nipigie nikwambie...Hiyo gari kama ina vitu mfano wa panels ni la kazi gani?
Wasanii 92, waganga 400 na vikundi vya ngoma 77 .Alikuwa ameambatana na wasanii wangapi?
Tunatimiza ilaniHiyo gari kama ina vitu mfano wa panels ni la kazi gani?
Sura imeanza kubadilikaRais Magufuli akiongea na wananchi mjini Kibondo wakati anaingia mkoa wa Kigoma kufanya kampeni leo Alhamisi Septemba17, 2020.
View attachment 1572764View attachment 1572765View attachment 1572766