Picha: Diwani wa Tarime aliyehamia CCM apelekwa Afrika Kusini chini ya ulinzi wa Green Guard kwa mapumziko

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
FB_IMG_1516157614697.jpg

Tuliposema CCM inanunua madiwani, vijana wa wengi CCM walipinga hoja hiyo. Lakini walipoanza kuona madiwani waliotoka Chadema wakipewa fursa, na kipaumbele kwenye mambo mbalimbali walianza kulalamika. Mnalalamika nini while mlipinga kuwa hawajanunuliwa?

Kamanda Mohonia Joseph anaripoti kuwa aliyekuwa diwani wa kata ya Turwa (Tarime Mjini kupitia Chadema) Bw.Zakayo Chacha Wangwe leo ameondoka nchini kuelekea Afrika Kusini, kwa safari ya mapumziko iliyogharamiwa na chama cha mapinduzi (CCM).

Zakayo amepewa ulinzi katika safari yake hiyo, kutoka kikosi cha ulinzi cha chama hicho (Green guard). Mlinzi huyo atamsindikiza Zakayo Afrika ya Kusini na atakaa nae huko kwa muda wa wiki mbili za mapumziko katika hoteli ya nyota tano. Kuna madai kuwa safari hii imegharamiwa na fedha za serikali na sio za chama kama inavyoelezwa.

Pia imeelezwa kuwa Zakayo akitoka kwenye mapumziko Afrika ya Kusini, ameahidiwa kutafutiwa kazi itakayomuwezesha kujikimu kimaisha jijini Dar. Hii ni nje ya pesa taslimu alizopewa wakati alipotangaza kujivua uanachama wa Chadema.

Kuna vijana wengi ndani ya CCM, wamekijenga chama chao kwa jasho na damu lakini hawajawahi kupanda hata gari la Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya. Lakini kijana huyu ametoka CHADEMA juzi tu, leo ana ulinzi maalumu, amepangiwa safari za nje, ameahidiwa kazi nzuri, na amepewa pesa taslimu. MwanaCCM yeyote anayeshabikia hili ni mwendawazimu.

Ifike mahali vijana wa CCM wajipime ikiwa chama chao kinawathamini au kinawahitaji tu kipindi cha uchaguzi na kuwatumia kama kondomu na kisha kuwadump. Hadhi ya kijana anayehamia CCM kutoka Chadema ni kupandishwa ndege, lakini hadhi ya kijana wa CCM aliyekijenga chama chake kwa jasho na damu ni kuwapandisha kwenye malori ya mizigo kama mbuzi wanaopelekwa mnadani Pugu. Hii si sawa.

Haiwezekani thamani ya mwanachama aliyejiunga jana ambaye hana mchango wowote wa kuijenga CCM iwe kubwa kuliko vijana waliokesha kwenye mvua na jua kukijenga chama chao. Vijana smart lazima watakerwa na hili, na wataonesha wazi kukasirishwa na ujinga huu. Ila wale mazwazwa wataendelea kushangilia tu, maana wameridhika kupandishwa malori kupelekwa Pugu dampo.

Hata hivyo dhana hii ya kununua wanasiasa ni ushamba wa kiwango cha juu sana. Wenzetu Kenya wamenunua ndege kubwa za kisasa zinazoruka moja kwa moja kutoka Nairobi hadi London. Wametumia pesa zao kujenga Flyover kila mahali Nairobi, wametumia pesa zao kufanya uwekezaji wa magari kupitia kampuni ya Volkswagen. CCM wao ni kutumia pesa zetu kununua wabunge na madiwani. Afu wakiitwa "Shithole" wanalalamika. Aren't they??
 
View attachment 677619 Tuliposema CCM inanunua madiwani, vijana wa wengi CCM walipinga hoja hiyo. Lakini walipoanza kuona madiwani waliotoka Chadema wakipewa fursa, na kipaumbele kwenye mambo mbalimbali walianza kulalamika. Mnalalamika nini while mlipinga kuwa hawajanunuliwa?

Huna hoja
 
Hivi Tarime bado mnalima Bangi?
 
Thamani ya wanao toka Cdm ni kubwa mno kuliko ya wana ccm walioko ndani ya chama, kwa hili vijana wa lumumba mjitathimini upya jinsi chama chenu kinavyo wadharau, kwa kweli poleni Sana. Ila na amini kabisa kuwa kuna siku mta jikomboa toka katika hayo makucha yanayo wafinya huku wakijifanya wame wabeba.
 
Tuambie amenunuliwa kwa sh. Ngapi? Weka ushahidi siyo maneno....Kwanza unajichanganya sana kwenye maelezo yako mara useme fedha za chama hapo hapo unajikanusha mwenyewe unasema za Serikali. Uandishi wa namna hii mara nyingi unakua ni wa kukurupuka na umbea.
 
Back
Top Bottom