picha:diamond akimpa pole mtoto aliyepata majeraha wakati akijaribu kumwona

heaven on desert

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
1,025
0
Huyu mtoto,aliletwa kwa
Diamond baada ya
show akiwa nq majeraha usoni
aliyoyapata wakati akijaribu kupata nafasi
ya kumwona
IMG_1223.JPG
HAPA AKIMFARIJI
IMG_1224.JPG
AKIMPATIA PESA YA POLE
Diamond..hii ilisababishwa na msongamano
mkubwa wa watu uliokuwepo
pale uwanjani..kwa roho
aliyonayo diamond,alimpatia kias cha pesa kama pole
...kama hukuwepo jana leaders or shabiki wa diamond
anayehitaji kuona picha za jana
aingie THIS IS DIAMOND PLATNUMZ tumeshaziweka
Usisahau kuni follow instagram @ kifesi usipitwe na picha za kila
siku za maisha ya Diamond na familia ya WCB-wasafi
or Follow Acount rasmi ya Wasafi @wcb_wasafi
 

Brodre

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,311
2,000
Aroo sasa si umezid huwez fungua thread moja kuhusu diamond kila kitu ukawa waweka humo. Ili tupatr nafasi ya kusoma thread za wengine jifunze tafadhari
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom