Picha: DC Patrobas Katambi akiwakamata vijana wanaotumia dawa za kulevya

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Mkuu wa wilaya ya Dodoma Mjini Patrobas Katambi (kushoto), akiwakamata vijana ambao wamekuwa wakitumia dawa za kulevya aina ya gundi tatizo ambalo limekuwa sugu katika jiji la Dodoma.
IMG_20181115_182923.jpeg
 
Mungu endelea kuwabariki Wazungu maana hamna namna......

Waafrica sijui tunakosea wapi, hii ni kazi ya Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti na Kupambana na madawa ya Kulevya (DCEA), Rogers Siang'a atafanya kazi gani sasa... Hii nchi bhana ina viogozi wapumbafu kweli kweli i never see.....
 
awamu hii tutaona movie nyingi sana aisee, DC mzima anaigiza utadhani wema sepetu
 
Hivi hizi shughuli si kuna kitengo maalumu chenye askari wa kupambana na hawa watuhumiwa?

Kulikoni tena DC kusaka vijana mitaani
Wanahatarisha usalama ndani ya wilaya mwenyekiti wa kamati ya usalama wa wilaya anatekeleza majukumu yao
 
Back
Top Bottom