PICHA: CUF yawasha moto TABORA; Mtatiro, Sakaya wailipua serikali

Kazeni buti ila mwambieni Jusa aache udini wake tutamrudisha kwao palestina!
 
Nafurahi sana vile CUF wasivyokata tamaa wala kubabaishwa na propaganda za wapinzani wao.HII NDO INATAKWA PIGA KAZI KUWATETEA WATANZANIA WATAKEJELI SANA MWISHO WATAGUNDUA UKWELI NA KUPUUZA AKILI ZAO.SONGA MBELE MTATIRO SONGAMBELE CUF.CUF WILL NEVER DIE.Huu ni mpito tu but i see u a still strong.KEEP MOVING MAADUI WAKO WAMEKUWA WENGI NA WANAZIDI KUONGEZEKE KWA KULISHWA PROPAGANDA.TOGETHER FOREVER
 
Cuf haitauliwa na propaganda za wapinzani wake, bali itauliwa na Jussa, Maalim Seif na Hamad Rashid!!!!!
 
CUF, kwishney. Kudhihirisha hilo, mleta thread aeleza ktk mkutano uliofanyika Urambo, mkutano ulifanyika wapi! Na kwanini sehemu ile! Au labda ni ile ndoa ya CUF na SISIEMU?

ukiambiwa mkutano umefanyiaka urambo tatizo lako ninini.Hii ni mikutano ya Urambo mjini,Kaliua,Sikonge hii ni ziara ya kanda ya ziwa kwa kunzia wameanza na Singida,Tabora wanaendelea mikoa ya Shinyanga,Mara,Mwanza na Kagera na LEO Watakuwa TABORA MJINI.NGANGARI KINOMA
 
Kilwa kisiwani mtakuja lini?
 
hakuna future hapa,ubishi wao ndio unawafanya wazidi kudidimia
waungane na vyama vingine kuunda umoja wa kuingoa CCM 2015
wakimsimamisha mgombea mmoja tu upinzani wataibwaga CCM
 
ukiambiwa mkutano umefanyiaka urambo tatizo lako ninini.Hii ni mikutano ya Urambo mjini,Kaliua,Sikonge hii ni ziara ya kanda ya ziwa kwa kunzia wameanza na Singida,Tabora wanaendelea mikoa ya Shinyanga,Mara,Mwanza na Kagera na LEO Watakuwa TABORA MJINI.NGANGARI KINOMA

arumeru mbona atuwaoni kuipa tafu ccm??
 
Nafurahi sana vile CUF wasivyokata tamaa wala kubabaishwa na propaganda za wapinzani wao.HII NDO INATAKWA PIGA KAZI KUWATETEA WATANZANIA WATAKEJELI SANA MWISHO WATAGUNDUA UKWELI NA KUPUUZA AKILI ZAO.SONGA MBELE MTATIRO SONGAMBELE CUF.CUF WILL NEVER DIE.Huu ni mpito tu but i see u a still strong.KEEP MOVING MAADUI WAKO WAMEKUWA WENGI NA WANAZIDI KUONGEZEKE KWA KULISHWA PROPAGANDA.TOGETHER FOREVER

Adui yenu ni kauli zenu wenyewe.Jussa alitamka waziwazi bila kuuma maneno kwamba CUF ni kwa ajili ya wapemba na waislam
 
hakuna future hapa,ubishi wao ndio unawafanya wazidi kudidimia
waungane na vyama vingine kuunda umoja wa kuingoa CCM 2015
wakimsimamisha mgombea mmoja tu upinzani wataibwaga CCM

CUF sio chama cha upinzani wataungana na nani?
 
Huyo jamaa na koti kuuuubwa la baridi. Tabora ni wakati wa baridi kali? Ila naona ni kwake tu. Ndiye mlinzi wa muhishimiwa nii, hilo ni kwaajilo ya kuficha kasilaha?
 
Back
Top Bottom