Picha;CUF ndani ya Bunda mji wazizima,Wasira presha juu

Seif yuko wapi na Lipumba yuko wapi; mbona wanakuwa kama wamekitelekeza chama?

Seif yuko busy kula matunda ya jasho lake pale SUK.. As for Lipumba nilipita kwenye tawi moja la CUF nikaona bango wanachama wanaombwa kujitokeza kwenda kumpokea Lipumba uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Nyerere tarehe 11/03/2012.. kila mwanachama anaetaka kwenda achangie shs. 2000..
 
Chama cha wanachi CUF kimefanya mikutano mikubwa wilaya ya bunda.Wananchi wamepatwa na furaha kubwa hasa pale Naib u katibu mkuu wa CUF Mtatiro alipokuwa akiwaelimisha suala la Katiba mpya.Huku msanii wa bongo fleva kutoka Bunda akapanda jukwaani na kumchanachana Wasira kwa kukaa Dar huku jimbo linadorora.CUF wameanza ziara mkoa wa Mara na wananchi wamekuwa na ham kubwa na CUF na kukipokea kuwa ni mkombozi wake.
View attachment 48539

Ila mshkaji katakata.. kanenepa..
 
Hhahahahah, nyie CDM muna hasira sana na CUF kwanini hamuelekezi hasira zenu CCM. Cuf ni chama cha wote na CDM ni chama .......... (Jazeni hapo). hahhaha iangalieni CDM mujijue musijidanganye bure. Kiboko yenu ni CUF. Matatizo ni ya kawaida musiwe na wasiwasi.
 
Back
Top Bottom