MANGI MASTA
Senior Member
- Jul 14, 2011
- 175
- 56
kwa taarifa yako mikutano na matukio ya CUF CDM huwa hawasogei viongozi wao walikwisha wazuai isipokuwa mashushu wao wawili ama watatu.eti wanaogopa CUF inawateka sana.HIYO NDIO CUF HALISI.Subiri tarehe 2 ushuhudie mweleka wa CDM igunga.
CUF mnajimaliza wenyewe kwa kudhani adui wenu mkuu ni Chadema mnasahau adui mkuu wa wananchi ni maisha magumu. Wamachi hawatawapa kura kwa kuwasema sana CDM bali kuzungumzia matatizo yao jinsi ya kuyatatua. Period.kwa taarifa yako mikutano na matukio ya CUF CDM huwa hawasogei viongozi wao walikwisha wazuai isipokuwa mashushu wao wawili ama watatu.eti wanaogopa CUF inawateka sana.HIYO NDIO CUF HALISI.Subiri tarehe 2 ushuhudie mweleka wa CDM igunga.
CUF hawajui hata wanayetakiwa kupambana naye siku wakijua uchaguzi utakuwa umekwisha.Siyo wa CCM?
ina maana kaka mwanakijiji bado ujabaini kuwa cuf mpinzani wao ni cdm na si ccm. mdomoni wana kataa lakini vitendo vyao vipo wazi wapime kwa matendo yao mdomoni utowabainiSiyo wa CCM?
Umejisemea kuwa mpinzani wa CUF ni CDM sio?? kwa hiyo CCM sio tishio, au CUF = CCM, kwa hiyo yeyote atakayeshinda hapo atakuwa amembwaga CDM.kwa taarifa yako mikutano na matukio ya CUF CDM huwa hawasogei viongozi wao walikwisha wazuai isipokuwa mashushu wao wawili ama watatu.eti wanaogopa CUF inawateka sana.HIYO NDIO CUF HALISI.Subiri tarehe 2 ushuhudie mweleka wa CDM igunga.
CUF mnajimaliza wenyewe kwa kudhani adui wenu mkuu ni Chadema mnasahau adui mkuu wa wananchi ni maisha magumu. Wamachi hawatawapa kura kwa kuwasema sana CDM bali kuzungumzia matatizo yao jinsi ya kuyatatua. Period.
CUF hawajui hata wanayetakiwa kupambana naye siku wakijua uchaguzi utakuwa umekwisha.
Tanzania ni nchi tajiri sana ..hapa mkiniambia kuwa maisha ni magumu sitawaelewa kabisa..
sijui igunga wanachukuliaje hii ya kushindana na chopa wakati watu hawana hata uhakika wa mlo mmoja