Picha:Chopa ya CUF Igunga

MANGI MASTA

Senior Member
Jul 14, 2011
175
56
DSC02457.JPG DSC02489.JPG DSC02457.JPG
 
Attachments

  • DSC02448.JPG
    DSC02448.JPG
    42.9 KB · Views: 115
kwa taarifa yako mikutano na matukio ya CUF CDM huwa hawasogei viongozi wao walikwisha wazuai isipokuwa mashushu wao wawili ama watatu.eti wanaogopa CUF inawateka sana.HIYO NDIO CUF HALISI.Subiri tarehe 2 ushuhudie mweleka wa CDM igunga.
 
Siasa za TZ kweli kituko yaani badala ya wanasiasa na wananchi kujadili hoja za maana na kuziwekea mikakati na kusimamia utekelezaji wake, tunajadili Bi Fatuma Kimario kavuliwa Hijab, CDM wametaka kumteka Mbunge wa ccm, Rage na mguu wa kuku kiunoni, sisi tutaleta chopa mbili wao moja na chopa ya cuf kubwa kuliko zote nk. Kwa ubwege huu RA ataendelea kutupiga hadi hadi tutie akili leo kesha hakikishiwa mkwanja wake wa DOWANS. Sisi badala ya kukubaliana tusilipe au tufanyeje kuepuka dhahama hiyo ya 94bl tunajadili chopa ya cuf kubwa kuliko za ccm na cdm. kwa vichwa hivi vya panzi sijui kama tutafika
 
kwa taarifa yako mikutano na matukio ya CUF CDM huwa hawasogei viongozi wao walikwisha wazuai isipokuwa mashushu wao wawili ama watatu.eti wanaogopa CUF inawateka sana.HIYO NDIO CUF HALISI.Subiri tarehe 2 ushuhudie mweleka wa CDM igunga.
CUF mnajimaliza wenyewe kwa kudhani adui wenu mkuu ni Chadema mnasahau adui mkuu wa wananchi ni maisha magumu. Wamachi hawatawapa kura kwa kuwasema sana CDM bali kuzungumzia matatizo yao jinsi ya kuyatatua. Period.
 
Ha ha ha ha CUF hii ya udini NGANGALI au ipi?.mbn wameshaishiwa kitambo hao mnapotezaje muda wa kuwajadili?.HAWANA DIRA TENA BUNGENI NDO KABISAAAA.....mtoa mada pole cheki ulivyokonda kw ungangali.teh
 
kwa taarifa yako mikutano na matukio ya CUF CDM huwa hawasogei viongozi wao walikwisha wazuai isipokuwa mashushu wao wawili ama watatu.eti wanaogopa CUF inawateka sana.HIYO NDIO CUF HALISI.Subiri tarehe 2 ushuhudie mweleka wa CDM igunga.
Umejisemea kuwa mpinzani wa CUF ni CDM sio?? kwa hiyo CCM sio tishio, au CUF = CCM, kwa hiyo yeyote atakayeshinda hapo atakuwa amembwaga CDM.

siasa uchwara ndio hizi sasa.
 
Tanzania ni nchi tajiri sana ..hapa mkiniambia kuwa maisha ni magumu sitawaelewa kabisa..
 
kweli nimekubali Tanzania kama umaskini ni wewe tu na ndugu zako wenngine wanakula bata ,....nani anabisha?
 
CUF mnajimaliza wenyewe kwa kudhani adui wenu mkuu ni Chadema mnasahau adui mkuu wa wananchi ni maisha magumu. Wamachi hawatawapa kura kwa kuwasema sana CDM bali kuzungumzia matatizo yao jinsi ya kuyatatua. Period.

Naona unawasemea wana Igunga
 
Tanzania ni nchi tajiri sana ..hapa mkiniambia kuwa maisha ni magumu sitawaelewa kabisa..

Wakati Mbowe na Dr Slaa wanatumia Helkopta, mlikuwa mnafurahia leo baada ya wengine kuleta Helkopta unaanza kulilia na kuleta porojo
 
sijui igunga wanachukuliaje hii ya kushindana na chopa wakati watu hawana hata uhakika wa mlo mmoja

Miafrika bana kwa unafiki, hivi Helkopta zimeanza leo kufanya kampeni? ulikuwa wapi kusema haya maneno yako wakati Mbowe na a loser Dr Slaa walipokuwa wanatumia Helkopta! Unalialia nini sasa
 
Mh! millioni 75 walizotangaza CUF watatumia kwenye kampeni ni pamoja na kuleta chopa, au ndio cuf wote anaejua mahesabu mtu mmoja tu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom