PICHA: CHADEMA wakutana na Kikwete Ikulu

jamaa kumbe kelele zote wanaonea gere CUF
hakuna tofauti.kikwete ndo mshindi ile misimamo ya kisusia hotuba yote bure kabisa.walimwonea zito

Umemaliza wivu wanataka wao kuolewa mke wa pili..subiri 2015 uwezo sasa mdogo ok bibie chadema
 
Mbona simuoni Katibu Mkuu? Mbona kamanda Mnyika hajavaa gwanda? Mbona simuoni Mkurugenzi wa Habari Ndg. Tumbo? Mbona simuoni Mwanasheria wa CDM Ndg. Mabere Nyaucho Marando? Kweli ikulu ni mahala patakatifu manake ni furaha tupu watu wote mioyo yao inaonekana kupambwa na maua!
 
Nimefurahishwa na jinsi wanasmile!. Wajameni, hii sio CCM -C on the making?.
Pasco, nilikuambia usimame katika kauli yako kuwa JK kamwe hatakutana na CDM na kwamba atasaini muswada kabla ya 01/12/2011 bila kuzingatia maoni ya wengine. Sasa hayo ya CCM C inaonyesha unataka kuchomoka katika kiapo chako. Mwaka huu wengi mtaficha nyuso zenu kutokana na kauli zenu za awali, ameanza Nape kujificha, utafuata wewe Pasco Mayala !
 
Nimeona kwenye picha hapo juu ambapo Membe anaomba udhuru watu wote wamesimama ila Lissu na Safari wao wamekaa. Hawa ni wansheria labda kukaa kwao wakati wengine wamesimama kuna maana yoyote au ni vono ya viti vya Ikulu!!
 
Kuna jambo ambalo hulijui nalo ni kwamba wale wa Chadema waliokuwa Ikulu leo hapakuwa na size yao pale kuanzia JKhadi wapambe wake akina Chikawe .Pia unasahau kwamba Ikulu ni ya Watanzania si mali ya CCM .Ukiyajua haya pia utakumbuka kwamba Mwenyekiti Mbowe hata bila ubunge tayari ana pesa na maisha zaidi ya Ubunge kwa kigezo chake cha uwezo wa kipesa CCM imeishindwa Chadema but wameweza CUF .

Nyongeza ni kwamba Mbowe ni mwenyeji hapo kuliko wote akina JK na timu yake,baba wake wa ubatizo ni Mwalimu Nyerere!
 
Timu ya CCM inaonekana kupwaya sana na inaelekea ni jinsi gani serikali ya CCM haiko serious kwenye hili jambo la Katiba. Wassira, Nchimbi, Lukuvi wana uelewa kwenye mambo ya katiba kuliko Samweli Sitta?

Sitta bado anauguza maumivu ya NEC Dodoma!
 
We Mushi weee,

Unataka hisani ya nani tena wakati aliyebandika hii picha yeye mwenyewe alikuwepo hapo kikaoni...

Halafu unaonekana huwajui viongozi wako, humuoini Prof. Baregu, Safari, na Mzee Arfi wa Mpanda hapo (mwenye kibarakshea)..
Sina chama mkuu,lakini nashukuru kwa kunifahamisha.
 
Wakuu mimi najiuliza hawa wanasisa wetu wanaosema wanatetea ajira za vijana wa tanzania hapo ikulu kuna hata vinyago au kazi za mikono made in Tanzania by Tanzanians au hata vya kuchongwa vinaoka china. na sisis vyetu ni Low Quality?

Napenda kujua zile picha za kuchora ni za msanii gani ?
 
While I understand and second CHADEMA's move, I practically expect no positive compliment from JK and ccm.
 
1b0ol.jpg


Kafanya makusudi kwasababu anajuwa hiyo ni zile za ki "Freemasons"

lionspaw.gif
Ama hii...
eapass.gif

why u believe in nonesense? i wonder
 
Mimi pana tatizo, iko toa mchango kama iko piga na Rais, sema tu iko taka ngapi? "Usiche na umaarufu una gharama yake?
sasa wewe naandikaje? mbona mimi panaelewa wewe? nyoosha kindogo swahili yako.
 
Dr.Slaa mbona Haonekani!Mh Mnyika ndio namwona yupo Serious!
Lissu nae ni mtu Makini tungoje tuone!
 
Hao vilaza wa ccm wanaogopa kivuli chao wangemuita na Makinda maana yeye ndie alievuruga na ameingiza hasara kubwa sana muswada utarudishwa huu umepingwa hata na vichaa wa milembe...nao wanadai haki yao kikatiba nani atawapeelekea maoni yao??Makinda historia itakuhukumu saababu kutumiwa vibaya kama kaka yako Luhanjo!!!mnatia aibu kabila lenu lenye msimamo na kukataa upuuzi nyie mmekuwaje sijui....mnatia aibu kabisa
 
nadhani it is too premature kubeza hii move; tusubiri tuone kama itazaa matunda or otherwise badala ya ku-focus kwenye trivial issues kama mwonekano wa picha, mandhali ya ikulu n.k - afterall hakuna chama chenye hakimiliki ya ikulu...
 
24gvpqh.jpg

Wakiwasili viwanja vya Ikulu

2q16w4p.jpg

Wassira akiwapokea Ikulu.

ipuwxd.jpg

Membe akiomba udhuru akahudhurie mazishi ya maaskofu waliokufa ajalini. Mazishi yamefanyika Pugu jijini Dar es Salaam

2csgzo3.jpg

Viongozi wa CHADEMA baada ya kupokelewa Ikulu

1eqd6p.jpg


30t5aao.jpg

Rais Kikwete akiwapokea

16hnex4.jpg

JK na Mbowe wakisalimiana

2zegrhk.jpg


16iwdaa.jpg

10hszea.jpg

15g2dkx.jpg


1584cc8.jpg

Rais Kikwete na ujumbe wake akiwa kwenye picha ya pamoja na ujumbe wa CHADEMA ikulu jijini Dar es Salaam. Nini kinaendelea, tutege masikio maana kwa mtazamo wangu tofauti zetu zitaondoka tu kwa kukaa pamoja na kuafikiana maafikiano kwa manufaa ya taifa letu, kila upande kuwa tayari kuvumilia vinginevyo ngangari si suluhisho la matatizo na nguvu ya dola ni kuleta taharuki zaidi ya mwafaka.
1b0ol.jpg

JK akisalimiana na Lissu

lakin upande wa cdm mbona gender haijabalance? Atleast damu ya kikwere ingelainika kiasi fulani! Other wise thanks Mkuu kwani hata sie tulio kanswenswe tumepata kilichojiri, lets wait for the outcome
 
Back
Top Bottom