Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,894
Hizo picha zinaonyesha ni jinsi gani hao viongozi wa CDM walikuwa na hamu ya kuingia ikulu. Am sure baada ya kufika hamna cha maana walichozungumza zaidi ya salam na kucheka cheka tu.
Kuna jambo ambalo hulijui nalo ni kwamba wale wa Chadema waliokuwa Ikulu leo hapakuwa na size yao pale kuanzia JKhadi wapambe wake akina Chikawe .Pia unasahau kwamba Ikulu ni ya Watanzania si mali ya CCM .Ukiyajua haya pia utakumbuka kwamba Mwenyekiti Mbowe hata bila ubunge tayari ana pesa na maisha zaidi ya Ubunge kwa kigezo chake cha uwezo wa kipesa CCM imeishindwa Chadema but wameweza CUF .