Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,883
- 6,884
Wakiwasili viwanja vya Ikulu
Wassira akiwapokea Ikulu.
Membe akiomba udhuru akahudhurie mazishi ya maaskofu waliokufa ajalini. Mazishi yamefanyika Pugu jijini Dar es Salaam
Viongozi wa CHADEMA baada ya kupokelewa Ikulu
Rais Kikwete akiwapokea
JK na Mbowe wakisalimiana
Rais Kikwete na ujumbe wake akiwa kwenye picha ya pamoja na ujumbe wa CHADEMA ikulu jijini Dar es Salaam. Nini kinaendelea, tutege masikio maana kwa mtazamo wangu tofauti zetu zitaondoka tu kwa kukaa pamoja na kuafikiana maafikiano kwa manufaa ya taifa letu, kila upande kuwa tayari kuvumilia vinginevyo ngangari si suluhisho la matatizo na nguvu ya dola ni kuleta taharuki zaidi ya mwafaka.
JK akisalimiana na Lissu
Rais Kikwete akiwakirimu wajumbe toka Chadema Ikulu jijini Dar es Salaam
Vyombo vya habari kama ada tukio kama hili adimu wanahakikisha hakuna litakalopitwa.