PICHA: CHADEMA mnatia aibu headed paper yenu kiasi cha kukosa mvuto

Nashindwa kuelewa.

Headed paper ya CHADEMA ipo simple sana , ya kawaida na ya kishamba sana.

CHADEMA ni chama kikubwa sana.Ni taasisi yenye pesa nyingi. Mnashindwa kudesign headed paper ya maana ambayo ina mvuto kwa wasomaji na wapenzi wa chama chenu?

Mtaani kuna taasisi za kawaida sana lakini unavutiwa na barua zao.

Why not you ?View attachment 1358703

Sent using Jamii Forums mobile app

What the fvck are you smoking man?
 
Hilo ndiyo tatizo lenu, msipo badilika dunia itawabadilisha.
Jambo rahisi sana. Anzisha chama chako, kisha tengeneza headed paper unayoipenda wewe. Vinginevyo unatoa pumba tu hapa. Wewe ni nani hadi unachokitaka wewe kikubalike?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom