PICHA: CHADEMA ilivyotikisa Ulanga Mashariki katika operesheni M4C

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
[h=3]Operesheni Sangara Ya CHADEMA Yavuna Wanachama Wapya Ulanga Mashariki,Kijiji Cha Nkonongo[/h]

Wapenzi na Washabiki wa Chadema wakijiandikisha na Kuchukua kadi mpya za uanachama Ulanga Mashariki, Kijiji cha NkonongoPicha Zote na CHADEMA

Katibu Mkuu wa BAVICHA taifa Bw Deo Munisi akiwa na Mkuu wa shule kijijini Nkonongo wakiangalia hali halisi ya ubora wa shule ilivyo.
Katibu Mkuu wa BAVICHA taifa Bw Deo Munisi akiwa na Mkuu wa shule kijijini Nkonongo wakiangalia hali halisi ya ubora wa shule ilivyo

Hawa wanawake wamenitia moyo sana...viva ulanga, viva CHADEMA.
 
saa ya ukombozi ndiyo sasa mwaka 2015 ni mafuriko kila kona ya ushindi wa chadema
 
Operesheni Sangara Ya CHADEMA Yavuna Wanachama Wapya Ulanga Mashariki,Kijiji Cha Nkonongo

Wapenzi na Washabiki wa Chadema wakijiandikisha na Kuchukua kadi mpya za uanachama Ulanga Mashariki, Kijiji cha NkonongoPicha Zote na CHADEMA

Katibu Mkuu wa BAVICHA taifa Bw Deo Munisi akiwa na Mkuu wa shule kijijini Nkonongo wakiangalia hali halisi ya ubora wa shule ilivyo.
Katibu Mkuu wa BAVICHA taifa Bw Deo Munisi akiwa na Mkuu wa shule kijijini Nkonongo wakiangalia hali halisi ya ubora wa shule ilivyo

Duu kweli kuwa mwalimu Tanzania ni adhabu tosha....
 
kwa nchi yenye wakazi zaidi ya Milioni 45, mtaji bado tunao. kura zitatosha tu.
 
Hapa Lumumba hali sio nzuri, vikao visivyo rasmi haviishi, kila mtu haamini yanayoendelea vijijini. Makada wetu muhimu wanazidi kukimbilia Chadema.

Mikakati inapangwa lakini haipangiki, propaganda haina nguvu tena, mbio za urais na vita ya madaraka ndani ya chama zinatugawanya zaidi,

Nape na Mukama sasa ni paka na panya.

Kifupi tunapitia kipindi kigumu zaidi kuliko wakati mwingine wowote tokea mfumo wa vyama umeanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom