Picha - CCM wamefikia kupigana wenyewe mikutanoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha - CCM wamefikia kupigana wenyewe mikutanoni?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Oct 10, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  bado kidogo wataanza kuuwana,namshukuru mungu kwa jambo hili maana litawafanya wagundue mahali walipo sio pazuri.
   
 3. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee babaangu dalili ya mvua ni mawi mawingu kweli wataanza kuchomana visu
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Watakwambia hapo walikuwa wanashangilia ushindi
   
 5. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hili gazet lilikuwa kwenye meza ya muuzaji, mkuu ukalitwanga picha hapo hapo.... duh Ulichangia kidogo.
   
 6. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hivi yule jamaa anaitwa Nepi Nnauye kapotelea wapi, sijamsikia muda mrefu sana, au yuko likizo?? Hapa atasema CCM inapendwa ndio maana inapiganiwa

  Inawezekana ni kwa sababu nimesusia TBCCM ndio maana sijamsikia. Anyway Sumbawanga mjini pananukia tutawasikia sana na rafiki yake Lussinde
   
Loading...