PICHA: Bungeni Nassari na William Malecela... Sasa Malecela atapata kura ya Nassari?

Absolutely !

Pia mimi kitu ninachopingana nacho ni fast tracking.Tuimarishe mifumo ya kisiasa na kiuchumi ndani ya nchi zetu.Kuna hii phobia kati ya Kenya and the rest of member states ambayo haina maana kama tukiwa makini na kutumia potentials zetu kiuchumi na kibiashara

For example,the USA isn't any better than Canada even though 70% of Canadian companies are owned by Americans (The Canadians got good deals before the NAFTA) American companies in Canada are nationalized economically not operationally pre and post NAFTA. Mexico is also on the rise thanks to NAFTA.Inagawa US inamuona Canada kama potentiala partner Kuliko Mexico

Ni lazima tuangalie hata mataifa dhaifu kiuchumi na kisiasa (deadbeat) na kuangalia fursa tutakazopata kwa kushirikiana nao.Hapa ni profit na national interest on board and EAC interest at large!

Protecting the deadbeat nations economically while encouraging companies from "responsible" ones to invest there is the only way Unions can work. Having the big nations enjoy free market by dumping products in a deadbeat nation is a crime!

Economically, EAC nations need their economical independence before being merged.Kenya or Tanzania (by fully exploring her resources) will basically over run the rest of EAC nations economically which to me is a case of feeding the monkey on your back till it grows into a gorilla and bellys you, Unless every nation in the union are productively capable of competing with the others, EAC will become nations of predator anf prey

Same happened to Greece, their market was opened to EU, their local manufacturers went obsolete and their debt rose to anarchy!!

So each nation needs to grow independently though assisting dependence with reciprocity should be encouraged, The moment the platform for interference becomes political, War on East African scale is inevitable!

Unless, a company from Tanzania operating Kenya,Rwanda etc (EAC) becomes nationalized in Rwanda, etc (EAC), The smaller nations will keep feeding the GDP of bigger nations. Which will have negative Socio cultural effects, and lead to War on a East African scale!

The only way EAC can be successful isn't by issuing biometric EAC travel passports, It is by ensuring the growth of smaller nations and the growth stability of bigger nations while economically creating platforms for interference, Political, Social, Cultural interference should be independent of EAC doings I.e not imposed but a product of me going to Rwanda and bringing some aspects of their culture to Tanzania etc, Just like how Tanzania swahili is spreading across East Africa in regardless of Political or economic coercion

Ben I somehow agree kuwa we need to be careful lakini siioni fast track kama ni tatizo if at all watu wetu watatumia short comings za EU, NAFTA kama lessons learnt. Tukifanya copy paste work ndipo hapo tutakapo jichanganya lakini hizi worries ambazo zina kuzwa bila objectivity ndizo zinazo nishangaza. Ukumbuke kuwa challenges ama opportunities za EU hazifanani na zetu na hata hivyo kwa hali ilivyo kama Europe isingeungana hali za baadhi ya nchi zingekuwa mbaya perhaps kuliko ilivyo kwa sasa. Kama mchumi nadhani unajua kuwa si kaeli nchi moja itakuwa ina fanana na nyingine hata kuifanya hiyo isiwe na cha kuizidi nyingine; lakini pia as small countries kwenye uchumi wa dunia kuna dis-advantage nyingi kuliko advantages.

Ipi bora basi? tutawaliwe na mataifa ya nje ki uchumi ama to join effort ili tushirikiane sisi kwa sisi kujenga economy ya region yetu? Ni ajabu hii mentality tuliyonayo ya kupenda kuwa karibisha watu wa mabara mengine huku tukiwaogopa hawa ambao kwa asili tunafanana na tunaweza kushirikiana kirhaisi zaidi kuliko hao tulio wabatiza majina mazuri mazuri kama ya wawekezaji, wafadhili etc na hao wengine yale mabaya mabaya kama ...wanatamani ardhi yetu what a bad attitude and inferior mind? Charity begins at home kama tunaalika investors bora tuanze na ushirika wa majirani ndipo tuende huko mbali!
 
534984_3760168641992_1209820481_33740687_751021859_n.jpg

Inavyoonekana Mh. Nassari atatoa kura yake kwa William Malecela kwa Ubunge wa East Africa

Malecela kafika Nyumbani kaanza kujitangaza Vizuri

Samahani ndugu kwa kwenda nje ya mada ila yule afande hapo mkono wa kulia anaonekana kachoka sana karibia adodoke!
 
Chadema hata wasingesimamisha mtu hawapaswi kuunga mkono uongozi wa kurithishana. Hii inachusha. Tazama Makamba, Mwinyi, Sokoine, Nyerere, Nchimbi, Malima, Sumari, Mzindikaya, Malecela, Bilal, na wengine wengi malizia hasa waliojificha kwenye balozi zetu nje na BoT.
 
Samahani ndugu kwa kwenda nje ya mada ila yule afande hapo mkono wa kulia anaonekana kachoka sana karibia adodoke!

Hahahahahaha ukimlinganisha na mkuu wa kulia duuuhh ..

Afande amevaa mkanda wa bendera ya Tanzania au ni macho yangu tu?
 
Chadema ni wabuguz Habibu Mchange walimuondoa kwa kashfa za uzush Eti katoa rushwa ambao ushahidi haujapatikana,leo mbunge wa EAC WANATULETEA MAJINA YAO KOMU HIVI HAKUNA MAJINA mengne wapiganaji ni wengi,au hichi chama ni cha watu fulani?
 
Ben I somehow agree kuwa we need to be careful lakini siioni fast track kama ni tatizo if at all watu wetu watatumia short comings za EU, NAFTA kama lessons learnt. Tukifanya copy paste work ndipo hapo tutakapo jichanganya lakini hizi worries ambazo zina kuzwa bila objectivity ndizo zinazo nishangaza. Ukumbuke kuwa challenges ama opportunities za EU hazifanani na zetu na hata hivyo kwa hali ilivyo kama Europe isingeungana hali za baadhi ya nchi zingekuwa mbaya perhaps kuliko ilivyo kwa sasa. Kama mchumi nadhani unajua kuwa si kaeli nchi moja itakuwa ina fanana na nyingine hata kuifanya hiyo isiwe na cha kuizidi nyingine; lakini pia as small countries kwenye uchumi wa dunia kuna dis-advantage nyingi kuliko advantages.

Ipi bora basi? tutawaliwe na mataifa ya nje ki uchumi ama to join effort ili tushirikiane sisi kwa sisi kujenga economy ya region yetu? Ni ajabu hii mentality tuliyonayo ya kupenda kuwa karibisha watu wa mabara mengine huku tukiwaogopa hawa ambao kwa asili tunafanana na tunaweza kushirikiana kirhaisi zaidi kuliko hao tulio wabatiza majina mazuri mazuri kama ya wawekezaji, wafadhili etc na hao wengine yale mabaya mabaya kama ...wanatamani ardhi yetu what a bad attitude and inferior mind? Charity begins at home kama tunaalika investors bora tuanze na ushirika wa majirani ndipo tuende huko mbali!

Ame,

..lakini wenzetu kwa akili zao wanafikiria kuja kuwatawala wa-Tanzania.

..hata ukisoma mabandiko ya Wakenya hapa ukumbini unapata picha ya mtizamo wao kuhusu jumuiya na wa-Tanzania.

..they r not in the community kushirikiana ili collectively tuweze kupambana na mataifa ya makubwa ya nje.

..kwasababu nchi wanachama zimeamua KUSHINDANA instead of kushirikiana, naomba wa-Tanzania tujipange upya kupambana na changamoto hiyo.
 
Naona wengi hawamjui huyu Ben, kifupi hana cheo chochote ndani ya CDM ni ujanja ujanja tu wa mjini, alijaribu kugombea Uenyekiti BAVICHA akataka kuingiza u-radical wake ndani ya chama wazee wakamwondoa, kifupi hatakiwi ndani ya chama anajipendekeza tu kwa sifa za JF.

Relax Mkuu Maisha yenyewe Mafupi utakufa kwa Presure. Nyote Mnajenga Nyumba Moja ya nini kunyan'ganyana Fito? Sidhani kama Ben amekuwa Mtu wa Kwanza kuenguliwa katika Uchaguzi, na Sidhani kama kuenguliwa katika Uchaguzi kunamfanya mtu awe Mhaini. Mkuu Ben anaonekana anaongea vitu substance sana sasa nachelea kuamini kama kweli wewe ni CDM au ni CCM aka Gamba. Ben is against CCM and you are against Ben then who you are?

Mkuu Relax siasa ni Maisha wote tutapita tutaicha kama ilivyo wako wapi akina Bibi Titi, wako wapi akina Nyerere n.k? Mkuu Uchaguzi wa Bavicha ulishafanyika waliochaguliwa wamechaguliwa na sasa wanajenga chama mtu yeyote kwa namna yeyote anayejaribu kulumbanisha watu anapaswa kufungwa jiwe shingoni na Atupwe Baharini. Mkuu Watanzania wanataka CDM iliyo Pamoja na kwa hakika watu kama ninyi wenye Visasi hamfai katika safari hii ya Ukombozi maana mtaichelewesha badala ya kushambulia Adui nyinyi mko busy kushambulia your fellows wanajeshi.

Yaliypita si ndwele tugange yajayo mtu ambaye hawezi kusamehe hafai hata Kuongoza Familia yake
 
Chadema ni wabuguz Habibu Mchange walimuondoa kwa kashfa za uzush Eti katoa rushwa ambao ushahidi haujapatikana,leo mbunge wa EAC WANATULETEA MAJINA YAO KOMU HIVI HAKUNA MAJINA mengne wapiganaji ni wengi,au hichi chama ni cha watu fulani?

Mkuu ulichoandika mbona akiendani na mada iliyo mezani?
hivi umejaribu kuwauliza hao CDM kuhusu utaratibu wanaotumia kuwapata wagombea?
Umepata nafasi ya kuuliza katiba yao inasemaje pamoja na taratibu zao?
Katika andiko lako naona una chuki na kundi fulani la watu na hujataka kuwa wazi.
 
Relax Mkuu Maisha yenyewe Mafupi utakufa kwa Presure. Nyote Mnajenga Nyumba Moja ya nini kunyan'ganyana Fito? Sidhani kama Ben amekuwa Mtu wa Kwanza kuenguliwa katika Uchaguzi, na Sidhani kama kuenguliwa katika Uchaguzi kunamfanya mtu awe Mhaini. Mkuu Ben anaonekana anaongea vitu substance sana sasa nachelea kuamini kama kweli wewe ni CDM au ni CCM aka Gamba. Ben is against CCM and you are against Ben then who you are?

Mkuu Relax siasa ni Maisha wote tutapita tutaicha kama ilivyo wako wapi akina Bibi Titi, wako wapi akina Nyerere n.k? Mkuu Uchaguzi wa Bavicha ulishafanyika waliochaguliwa wamechaguliwa na sasa wanajenga chama mtu yeyote kwa namna yeyote anayejaribu kulumbanisha watu anapaswa kufungwa jiwe shingoni na Atupwe Baharini. Mkuu Watanzania wanataka CDM iliyo Pamoja na kwa hakika watu kama ninyi wenye Visasi hamfai katika safari hii ya Ukombozi maana mtaichelewesha badala ya kushambulia Adui nyinyi mko busy kushambulia your fellows wanajeshi.

Yaliypita si ndwele tugange yajayo mtu ambaye hawezi kusamehe hafai hata Kuongoza Familia yake
Albedo, nikukumbushe hotuba ya Mh. Mbowe aliyoitoa kwenye mkutano wa Arusha NMC juzi baada ya hukumu ya Lema kama ulikuwepo alisema nanukuu 'Wakati umefika wa kuwatambua wasaliti ambao tunao humu humu, si kila unayemuona na sema PEOPLES POWER ni mwenzetu' mwisho wa kunukuu. Kuhusu mimi kama ni CDM au si CDM hiyo ni wewe uta judge na kuhusu Ben kuitwa haini si Quinine anamuita aliitwa na wazee waliomwengua.
 
Mkuu Albedo, unapomtetea mtu lazima kwanza kuna some facts unatakiwa ukubaline nazo, Ben alituhumiwa kutaka kuivunja katiba ya chama, right? kuvunja katiba ni uhaini, right? katika nchi nyingi adhabu ya mhaini kifo au kuwekwa detention kama Aboud Jumbe. Kichama uhaini au usaliti adhabu yake ni kufukuzwa chama. These are some of the facts.

In any case Ben has to come clean from the fact kwamba alitaka kuvunja katiba, kuwaita wanaompinga majina ya ajabu ajabu Haters, Hillarious hakutamjenga badala yake ndio anafanya issue izidi kuenea. Na chama kinapata muda wa kumjua ni mtu wa aina gani.

Leo CDM kimekuwa chama kikubwa si cha kusambaratishwa kirahisi kwa mbinu zilizotumika kuisambaratisha NCCR-Mageuzi. Kina mbinu nyingi za kuwajua wasaliti wake. Chukulia kitendo cha kufukuzwa Mwigamba na watu wakaanza kulalamika akiwemo Ben kuwa ndani ya CDM hakuna demokrasia. Mimi nilichukulia kwa mtazamo mwingine kabisa, inawezekana ni mpango wa CDM kuwajua walio upande fulani..it is my guess. kwa hiyo ukijiingiza kichwa kichwa kuanza kusupport bila kufanya utafiti unaweza kujikuta umeingia kwenye mtego wao.
 
Unafanya kazi kwa ku-guess? tuache kufanya kazi kwa hisia ili tuwe objective

No wonder unashinikiza nilete uthibitisho kwa kitu ambacho mtu amepika tuhuma na kunishutumu.Badala ya kumshinikiza yeye alete uthibitisho wa tuhuma zake unataka mimi nithibitishe.Inashangaza kweli kweli!

Na wewe naomba uthibitishe uhaini wangu na maneno uliyoandika.Afterall mnataka mimi nije kuthibitisha tuhuma ambazo mtu amekuwa akiropoka huku JF kila siku bila sababu kwa kuwa anajificha na ID fake tu.

Guys,uchaguzi wa BAVICHA umepita.Hizi obsessions hazina maana kama ninyi ni wana-CHADEMA wa kweli.Haya majungu bila uthibitisho ni ya kupuuza,sina jina lingine la kuwaita hao watu zaidi ya haters tu
 
Albedo, nikukumbushe hotuba ya Mh. Mbowe aliyoitoa kwenye mkutano wa Arusha NMC juzi baada ya hukumu ya Lema kama ulikuwepo alisema nanukuu 'Wakati umefika wa kuwatambua wasaliti ambao tunao humu humu, si kila unayemuona na sema PEOPLES POWER ni mwenzetu' mwisho wa kunukuu. Kuhusu mimi kama ni CDM au si CDM hiyo ni wewe uta judge na kuhusu Ben kuitwa haini si Quinine anamuita aliitwa na wazee waliomwengua.

Mkuu Suala la nani Mhaini au nani Msaliti yeyote anaweza kusema kulingana na anavyoona. Hata mimi naweza kusema Wewe ni Mhaini, Mnyika ni Mhaini au Mbowe ni Mhaini. Lakini nikisema tu bila kuleta ushaidi wa uhaini Nitaonekana nina Inda na Husda. Kwa hiyo mkuu huu ni wakati wa Kujenga Chama, Chama Hakitajengwa na Mbowe types pekee, Chama hakitajengwa na Zitto types pekee wala chama hakitajengwa na Mnyika types pekee. Ndio maana CDM kuna mkusanayiko wa watu wengi waliogawanyika intems of Social ( Kuna Masheik, kuna wachungaji, kuna wasanii, kuna wachumi, na kula Machalii kama Lema na wengine) lakini Mchanyato huu ndio uhai wa CDM. Mkianza kupigana huyu wa Mbowe, Huyu wa Zitto huyu wa Mnyika mwisho wa siku hamuwatendei haki Watanzania kwa maana mtakuwa mnachelesha kukombolewa kwao just tu kwa sababu yule kapata kile yule kakosa kile.
 
Mkuu Albedo, unapomtetea mtu lazima kwanza kuna some facts unatakiwa ukubaline nazo, Ben alituhumiwa kutaka kuivunja katiba ya chama, right? kuvunja katiba ni uhaini, right? katika nchi nyingi adhabu ya mhaini kifo au kuwekwa detention kama Aboud Jumbe. Kichama uhaini au usaliti adhabu yake ni kufukuzwa chama. These are some of the facts.

In any case Ben has to come clean from the fact kwamba alitaka kuvunja katiba, kuwaita wanaompinga majina ya ajabu ajabu Haters, Hillarious hakutamjenga badala yake ndio anafanya issue izidi kuenea. Na chama kinapata muda wa kumjua ni mtu wa aina gani.

Leo CDM kimekuwa chama kikubwa si cha kusambaratishwa kirahisi kwa mbinu zilizotumika kuisambaratisha NCCR-Mageuzi. Kina mbinu nyingi za kuwajua wasaliti wake. Chukulia kitendo cha kufukuzwa Mwigamba na watu wakaanza kulalamika akiwemo Ben kuwa ndani ya CDM hakuna demokrasia. Mimi nilichukulia kwa mtazamo mwingine kabisa, inawezekana ni mpango wa CDM kuwajua walio upande fulani..it is my guess. kwa hiyo ukijiingiza kichwa kichwa kuanza kusupport bila kufanya utafiti unaweza kujikuta umeingia kwenye mtego wao.

Sasa kwa nini hakufukuzwa Chamani kama kweli alitenda kosa ambalo lilistahili adhabu ya kuvuliwa uanachama
 
Mkuu sidhani kama data zako ni sahihi, kwa kumbukumbu zangu somo la Civics lilianza kufundishwa mashuleni kuanzia mwaka 1993, na kwa hakika kipindi hicho huyu bwana tayari alishaanza kubeba mabox New York.

Halikuwepo lakini lilikuwepo somo linaitwa Siasa ambalo Kimsingi ndilo lililobadilishwa jina na kuitwa Civics maana hata Sylabus ya somo la Siasa almost ilikuwa ni ile ile iliyokwenda kwenye Civics.
 
Ben I somehow agree kuwa we need to be careful lakini siioni fast track kama ni tatizo if at all watu wetu watatumia short comings za EU, NAFTA kama lessons learnt. Tukifanya copy paste work ndipo hapo tutakapo jichanganya lakini hizi worries ambazo zina kuzwa bila objectivity ndizo zinazo nishangaza. Ukumbuke kuwa challenges ama opportunities za EU hazifanani na zetu na hata hivyo kwa hali ilivyo kama Europe isingeungana hali za baadhi ya nchi zingekuwa mbaya perhaps kuliko ilivyo kwa sasa. Kama mchumi nadhani unajua kuwa si kaeli nchi moja itakuwa ina fanana na nyingine hata kuifanya hiyo isiwe na cha kuizidi nyingine; lakini pia as small countries kwenye uchumi wa dunia kuna dis-advantage nyingi kuliko advantages.

Ipi bora basi? tutawaliwe na mataifa ya nje ki uchumi ama to join effort ili tushirikiane sisi kwa sisi kujenga economy ya region yetu? Ni ajabu hii mentality tuliyonayo ya kupenda kuwa karibisha watu wa mabara mengine huku tukiwaogopa hawa ambao kwa asili tunafanana na tunaweza kushirikiana kirhaisi zaidi kuliko hao tulio wabatiza majina mazuri mazuri kama ya wawekezaji, wafadhili etc na hao wengine yale mabaya mabaya kama ...wanatamani ardhi yetu what a bad attitude and inferior mind? Charity begins at home kama tunaalika investors bora tuanze na ushirika wa majirani ndipo tuende huko mbali!

Thanks Madame Ame,

Suala la kufanya fast tracking bila kuweka taasisi zetu muhimu sawa ni hatari.Ukiangalia hata investment policy yetu ilituletea madhara makubwa katika utekelezaji kwa sababu tuliburuzwa na mfumo wa dunia na wanasiasa wetu uchwara wakafuata mkumbo.it was too bad,nadhani hata wewe kama Mwanauchumi unalielewa hili

Hapo kwenye Red na Blue: ofcourse,other countries have benefited heavily from the EU. Estonia and Latvia are two example. Poland is another.

Greece has had the chance to borrow money at lower rates due to being part of the EU. Didn't it have the same credit rating as Germany until recently? ofcourse aint making it out as if the primary beneficiary of the EU was the rich countries, the poorer European countries also benefited quite a bit.

Nasapoti idea ya kuungana kuunda Trade union/economic block in the region.Regional Bloc mean tariff is gone and your market is open to others

The benefit of Regional intergration is for "responsible" economies not to implode. Yes, If for exapmle China has huge production base but huge tariff on their products which make them equal to that of locally made ones will mean less export and companies in China will be forced to open up production bases offshore but imagine a trade pact/cooperation between China and EU will benefit who the most? Regional intergration/trade cooperation etc mean I don't have to improve your economy to export my products, Such is the case of over running smaller nations

We should put our house in order,prepare our core institutions to accomodate the fruits and vices of regional intergration.
 
Back
Top Bottom