Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,444
Sinywagi pombe mieKuna Uzi kule maalumu unaitwa
MADA MAALUMU YA WALEVI NA WANYWA POMBE
nenda kule ukajumuhike mzee
"special kwa thread"
Mandhari na watuUbora wake ni upi bro
Stigilas gojiHii hapa sijui imepigwa wapi?
Hicho cha kulia kimekaa utamu basi tu.Picha bora ya mwaka Africa? yangu ndio hiiView attachment 1142652
ChattleHao watoto wapo jandoni pande za Serengeti au Tarime
Barikiwa sana mkuuHiyo picha imepigwa Ethiopia (Omo valley katika kijiji cha Kibbish)
Hii ni jamii ya kabila moja linalopatika ktk Jangwa la Namib lenye sifa kuu moja ya kukaribisha mgeni kwa kufanya nae mpanzi I meen wakitembelewa na mgeni muhimu basi mgeni huyo huchaguliwa binti ambaye ata mpa raha kama heshima ya ujio wakeNa hii je utaiweka kwenye kundi gani View attachment 1144035