Picha bora kwa mwaka wa 2019 kutoka Afrika

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,425
Hii hapa sijui imepigwa wapi?
 

Attachments

  • 5568.jpg
    5568.jpg
    145.8 KB · Views: 267
Na hii je utaiweka kwenye kundi gani View attachment 1144035
Hii ni jamii ya kabila moja linalopatika ktk Jangwa la Namib lenye sifa kuu moja ya kukaribisha mgeni kwa kufanya nae mpanzi I meen wakitembelewa na mgeni muhimu basi mgeni huyo huchaguliwa binti ambaye ata mpa raha kama heshima ya ujio wake

Kama ilivyo kwa makabila mengi ya kitanzania mgeni akifika huchinjiwa kuku Kama heshima Sasa kwa omuhimba (Himba) kwao Ni tofauti kdgo
 

Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom