Picha: Binti mrembo sana aliyetangaza kuwa anaishi na VVU

Mwish

Mwishon mwa mdomo afu cha kuongezea ukiwaangalia ngozi yao kama imepauka flan..hukiona hivi ni signal kaungua
Haha we utakuja kufa kizembe ukimwi haupimwi kwa macho ndugu, kupauka kwa ngozi ujue aliungua mda mrefu sana, tumien ndomu acheni zinaa...
 
wasanii wa bongo movie wanasadikika kuongoza kwa maambukizi ya VVU,ogopa sana hao wadada, kuna udaku nilipewa na watu wao wa karibu sikuamini.

Usije ukamuona sijui upaja mweupe ukaamua kusimamia kucha,hao warembo warembo wanatumika vibaya sana na wanaongoza kwa maambukizi,
 
Niliwahi kufuata PEP pale Mnazi mmoja, nikapewa moja ya kumeza usiku huo huo...kumbe PEP ndio hizo hizo ARV nikaambiwa niende asb yake kwenye Clinic. Torture niliyoipata siku ile daah unakaa kwenye foleni, unajazishwa mafomu kibao, maswali lukuki toka kwa manesi ilibidi nijikite zaidi kwenye punyere kutoa ashki. Wandugu ukimwi upo
 
Wanaume huku wanajifanya kumponda sio mrembo kisa ashaukwaa(huu ni unyanyapaa wa kujua au kutokujua) lakini wengi wao mademu/wake zao walionao hawamfikii hata nusu kwa urembo huyo binti wa south.
Kweli kabisa hata ukianzia kwa Dada zao ndo utachoka afu anakuja kuponda binti yuko ivo
 
Kweli kabisa hata ukianzia kwa Dada zao ndo utachoka afu anakuja kuponda binti yuko ivo
Afu wanavyomponda utafkiri wanaishi nchi nyingine wakati huku kitaa tuko nao na dada zetu wa kibongo tunawajua.
 
Mwish

Mwishon mwa mdomo afu cha kuongezea ukiwaangalia ngozi yao kama imepauka flan..hukiona hivi ni signal kaungua
Ila kuna hawa wanaotumia ARV naskia wao wanakua wapo fresh kama watu wengine ndo tatizo linaanziaga hapo
 
Wala sio mrembo huyo mbona ni binti wa kawaida tu!, Hata nikipishana nae njiani sina haja ya kugeuka tena kumcheki upya. Japo ana miguu mizuri pia nampongeza kwa ujasiri na kukubali kuipokea hali ya Afya yake. Watu wenye ujasiri wa hivi huwa wanaishi miaka mingi na maambukizi bila kutetereka.
 
Back
Top Bottom