PICHA: Binti amshangaza mpenzi wake kwa kumnunulia gari siku ya Valentine

Wapo wanawake hata huku bongo!yaani mwanamke anajitoa kukusaidia hadi unaskia raha!yaani mnasaidiana kupita kiasi.kuna wengine anakukamua hadi aone umekunya damu ndo akuache
nimecheka mpaka watu wameshangaa, i see watu mna maneno
 
Binti miaka 20 wakiume hawajasema miaka mingapi! Kama mwanaume anamiaka 22 imaana kibongobongo jamaa amebaka miaka miwili mfululizo. Sijui sheria zao zikoje
 
Binti miaka 20 wakiume hawajasema miaka mingapi! Kama mwanaume anamiaka 22 imaana kibongobongo jamaa amebaka miaka miwili mfululizo. Sijui sheria zao zikoje
Sheria ya Kenya inakubali jombaa, mananasi yakichomoka tu, ruksa kwetu kuyatafuna! :D
 
Back
Top Bottom