Picha - Basi la abiria likiteketea kwa moto Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha - Basi la abiria likiteketea kwa moto Morogoro

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, May 9, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Basi la Kampuni ya Muro Investment, T820BEY lillilokuwa klikitokea Mwanza kwenda jijini Dar es Salaam, limewaka moto na kuteketea kabisa maeneo ya Maseyu Mkoani Morogoro. Ajali hiyo iliyotokea majira ya saa 1:15 usiku Mei 8,2012, haikusababisha madhara kwa abiria ispokuwa mali zao zote ziliteketea kwa moto huo.
   
 2. amulson

  amulson Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Thank God no one died! sababu ya ajali? nini kilitokea hadi basi kuwaka vile?
   
 3. T

  Tajiri Mtoto Senior Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 131
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  OMG. Nini kilitokea??
   
 4. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kuna kila sababu ya kuundwa tume kuhusu hili... kwani kwa kumbukumbu zangu hili ni basi ka si tatu basi ni zaidi halafu na muundo huu double dif kuwaka moto hapo Moro, kunani?! Halafu yote yalikuwa yanatokea Mwz!
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mabasi ambayo ni double dif yanaaminika kama mabasi salama zaidi barabarani kwa sababu yana balance nzuri zaidi inapotokea hitilafu ya kuyumba au kupasuka matairi. Mataifa yaliyoendelea mabasi ya abiria ya mwendo mrefu lazima yawe ya aina hiyo. Si kama bongo tunabadilisha lori kuwa basi.

  Kuundwa tume nadhani si sababu sana ila uchovu wa magari check up haifanyikia ndio sababu ya matatizo kama hayo kutokea.

  Majuzi tu nilitembelea mkoa fulani, kisha tukaingia wilaya fulani kwa basi, ghafla liliacha njia na kuyumbia kwenye tuta. Bahati aliwahi break, na tuta lilisaidia vinginevyo tungeishia gengeni. Tulipoangalia tatizo kumbe kuna bold inayoshika mpiti wa usukani uendao kwenye tairi la mbele haikuwepo, na badala yake walifunga manati. Manati hayo yalichoka na kisha yakakatika na ndipo basi lilipokosa mwelekeo. Nilimwuliza driver kwa nini wanafanya hivyo, nilijibiwa kwamba tajiri ni bahiri wa kutoa pesa za kununulia spear.

  Bahati mbaya picha nilipiga kutumia simu ambayo haina website, kwani yenye website iliisha nguvu ya charging.
   
 6. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Dah!!! Mkuuu kwenye hayo maneno niliyoweka rangi nyekundu nimekuelewa lakini dah!! Nina mashaka na wewe,Anyways asante kwa info!!!
   
Loading...