Picha: Balozi kallaghe awawaaga wanariadha wetu kwa matumaini ya olimpiki 2016

312914_4560360490843_301684079_n.jpg


london oyeeeeeeeeee

297674_4560341570370_1310644265_n.jpg


walijitenga? nasikia huyu dogo baba yake alihonga akapata nafasi ya kwenda kuchezea maji landani......

I cannot dispute this,in Tanzania anything is possible! If they went to London as tourists, please do not blame them because touring is a national pastime; they have picked it from their presdaaa!!
 
hawa nao wanaagwa kwa tafrija mmh...au ndio mambo ya kuchonga mipango hewa ili mradi tu hela iidhinishwe watu wapate chance ya kutafuna
 
Ningelikua ni mimi ningeshazamia zangu London kama wale wajamaa wale wanamichezo wa Cameroon aibu ya nini kurudi bongo!
 
hawa masifuri hata mimi mbio hawaniwezi....hawa hata kufukuza kuku tu wanaweza kushindwa....sijui wanakula kitimoto au ndo midebwedo!wanakera kweli, bora hata wasingeenda kuliko kwenda afu wanatuletea fezea.....uganda kuna gold, kenya ndo usiseme....tz mkia.

mbona basi hukwenda kushiriki?
 
Hizo Kamba zinazonin'inia shingoni nilifikiri ni medali, kumbe vitambulisho vya Olympic! WaTanzania hatujitambui. Halafu wanafanyiwa party ya nini!? Kesho tutaletewa Invoice kutoka ubalozini kwamba hiyo party iligharimu £ 30,000.
Daah! Inauma kuwa MTANZANIA.

Hizo kamba ndio watakazo rudi nazo nyumbani kutuonyesha zilivyo nzuri; na sisi tutashangilia
 
Tupewe medal ya kutokuwa na aibu


Wewe hadi Afghanistan walipata Medali pamoja na Vita US, EURO, Taliban, Al-quada lakini alipata muda wa kufanya

Mazoezi na kuiletea nchi yake Medali... sisi wasalama ni Maneno Oh Viatu vilikuwa vinaleta Joto; Oh Hatupata Maziwa

Oh Viongozi ni wengi zaidi ya Sisi Wanamichezo; Oh Posho zetu zinachelewa chelewa hatuwezi kujituma...
 
Aisee sisi hatuko serious kabisa...watoto na wajukuu zetu ndio watazinduka na kurudisha heshima yetu labda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom