PICHA: Athumani Selemani Kikwete Auaga ukapera; Athumani anamuita RAIS Baba MDOGO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: Athumani Selemani Kikwete Auaga ukapera; Athumani anamuita RAIS Baba MDOGO

Discussion in 'Jamii Photos' started by nngu007, Oct 1, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  [h=3]
  [/h][h=2]Sunday, September 30, 2012[/h]


  [​IMG]
  Bwana na Bibi Athumani Kikwete wakiwa wanaingia Ukumbini.
  [​IMG]
  Muda Mfupi baada ya kuingia ukumbini
  [​IMG]
  Maharusi wakiwa meza kuu
  [​IMG]
  Muheshimiwa Dr. Jakaya Kikwete akiwa anafurahia Harusi pamoja na ndugu jamaa na marafiki
  [​IMG]
  Rais Dr. Jakaya kikwete ambaye ni Baba mdogo wa Athumani akiwa pamoja na Ndugu , jamaa na marafiki wakicheza kwaito katika harusi ya Athumani


  [​IMG]
  Bwana harusi Athumani pamoja na mpambe wake wakiwa wametoa Makoti yao


  Kwa picha zaidi bofya read more
  [​IMG]
  Sasa Mambo ya kukata keki
  [​IMG]
  Keki inaendelea kukatwa
  [​IMG]
  Haya sasa mwenye wivu... Mambo ndio yalikuwa hivi walipo lishana keki
  [​IMG]
  Bibi Harusi akiwa anampa mkono Rais Dr. Jakaya Kikwete kwa Heshima na Taadhima huku akiwa amepiga goti
  [​IMG]
  Baba Mzazi wa Athumani Kikwete mzee Selemani Kikwete Mwenye Barakashia, akiwa anafurahia harusi ya mtoto wake
  [​IMG]
  Bwana na bibi Athumani Selemani Kikwete baada ya tukio zima la Harusi yao
  [​IMG]
  Kushoto ni Mmoja wa wakurugenzi wa Tone media Sillas Mbuya pamoja na Ankali Issa Michuzi katika Sherehe hiyo
  [​IMG]
  Mdau
  [​IMG]
  Hili ndilo gali ambalo lilitumika kubeba Maharusi


  PICHA ZOTE NA: WWW.BLOGSZAMIKOA.BLOGSPOT.COM
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Hilo GARI ni la ATHUMANI KIKWETE ? Ni kwanini kwenye SHUGHULI za NYUMBANI sio

  OFFICIAL bado Kikwete
  anaibebe hiyo nembo ya Dr. ??
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Haya ndoa za kifalme!!! Kapatia jiko wapi? Siku hizi moslems kama wakristu katika mavavi na ndoa!! Bora mliona jema!! Ops nimesahau pia wakati wa ramadhan mambo mengi kule yanadorora kabisa!! Utasikia mfungo bwana biashara haziendi!!!! Tehe Tehe ngoja waje wanimalize wakati nimesema ukweli.
   
 4. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Siku zote alikuwa wapi kuoa?
   
 5. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Ki-CCM Bab Mdogo si sio Baba (Refer ya Wassira). Sasa hapo bro kafuata nini kama sio Baba na hiyo sio Official bizinezi.
   
 6. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Du kumbe kibaraghashia na kanzu vishapitwa si tamaduni za waislamu siku ya kupewa mwanamwali.Naona jamaa ametoka full mkristo
   
 7. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Hiyo "Dr." ipo naye popote aendapo hata chooni mkuu. ni kama wewe na hiyo elimu yako ya form 6
   
 8. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hahahahah yan nmejikuta nacheka aftr readng this chokoz comment
   
 9. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  weka picha ambayo rais wetu anaonekana akikata mauno, najua ipo!
   
 10. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Uchokozi uko wapi hapo Swts hiyo mbona ni makavu live!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,638
  Likes Received: 2,065
  Trophy Points: 280
  Amechelewa au?mbona bado uso nuru kijana kabisa huyo
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145

  Oh... Umenipa hicho CHETI ? Nafurahi kweli kunipandisha MADARASA... ASANTE Mwl.
   
 13. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  hizo ndizo athari za mfumo kristo alizozingumzia ponda na radio imaan
   
 14. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Aaaah dogo vipi mbona unanishusha namna hiyo mimi Suka bwana (mbagala-K/Koo) , siyo mwalimu!
   
 15. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #15
  Oct 1, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mbona ujatuwekea picha za LE MUTUZ na NAPE kama walikwepo
   
 16. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #16
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145

  Ungelijuaje hilo FORM SIX ? nitumie hicho cheti nigombee UKATIBU TARAFA
   
 17. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #17
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Ponda kama kweli anatetea uislam aandae maandamano nchi nzima kupinga harusi za kiislam zenye muigo wa kikristo
   
 18. M

  Malila JF-Expert Member

  #18
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,412
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Wamependeza hawajapendeza ???????, baba wa bwana harusi katoka na suti safi kabisa,nafasi ikiruhusu vunja mifupa mwana wane. Dini siku hizi zimebaki kwenye majina yetu, kule mbinguni kwa Mungu hakuna mkamilifu hata mmoja.
   
 19. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #19
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  georgeallen,heheh makav kwel kwel had unapauka!lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. MMAHE

  MMAHE JF-Expert Member

  #20
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  halafu useme viongozi wa kisiasa wanahubiri udini!
   
Loading...