Picha: Askofu Benson Bagonza afurahia kukutana na Tundu Lissu leo

Shida wabongo hatuna utamaduni wa kuheshimu mawazo tofauti ya watu,ila tunataka tuwe na uongozi wenye kuheshimu uhuru wa kutoa maoni wakati sisi kama jamii(ambao ndio hutoka viongozi) hatuna huo utamaduni.
Hilo nalo neno.Lkn shida haianzi kwa jamii,shida inaanzia kwa viongozi wenyewe wa siasa.
 
Nikiwa mkubwa nataka niwe askofu!
EifuykQXsAI844I.jpg
 
Asante Baba Askofu! Kwanini uwe mnafiki dhidi ya nafsi yako mwenyewe? Maandiko matakatifu iwe katika Biblia takatifu au Qurani tukufu yote yanakataza dhambi za dhuluma, ubaguzi, ubinafsi, uonevu na ukandamizaji! Haya matendo kwasasa ndio maisha ya kila siku ya CCM na viongozi wake na taasisi zilizoundwa na serikali yake, Ajabu kuna viongozi wa dini bado wanaungaga mkono na kutetea na kubariki uovu wa chama hiki! Mwenyezi Mungu akawalipe mshahara sawasawa na matendo yao!
 
Aende hadi kwenye kampeni kabisa!

Huyu najulikana ni chadema ila huwa anajificha kwenye dini
Kama mtu binafsi, anayo haki na pia ni haki yake both kikatiba na kiutu/kibinadamu kuwa na utashi na uchaguzi wa amuunge nani mkono kisiasa au aunge chama gani mkono kisiasa. Msimpige madogo kwa hili alilofanya huyu Askofu.
 
Asante Baba Askofu! Kwanini uwe mnafiki dhidi ya nafsi yako mwenyewe? Maandiko matakatifu iwe katika Biblia takatifu au Qurani tukufu yote yanakataza dhambi za dhuluma, ubaguzi, ubinafsi, uonevu na ukandamizaji! Haya matendo kwasasa ndio maisha ya kila siku ya CCM na viongozi wake na taasisi zilizoundwa na serikali yake, Ajabu kuna viongozi wa dini bado wanaungaga mkono na kutetea na kubariki uovu wa chama hiki! Mwenyezi Mungu akawalipe mshahara sawasawa na matendo yao!
Haya ni MADUA YA KUKU HAYAMPATI MWEWE na laana isiyo haki haimpati mlengwa!
 
Back
Top Bottom