Picha: Askofu Benson Bagonza afurahia kukutana na Tundu Lissu leo

Viongozi wa dini wapenda haki wengi wanaipenda CHADEMA maana ni chama kinachosimamia haki achana na kile kinacho sema mungu oyeeeee!
 
Wow! Sikujua kuwa ATL alifanyiwa operasheni ya kuongezea ukubwa wa mdomo wake. Sasa anaweza kuachama vizuri.
 
Aende hadi kwenye kampeni kabisa!

Huyu najulikana ni chadema ila huwa anajificha kwenye dini

Huyu huwezi kumfananisha na TAPELI wenu wa ccm Gwajima!!! Maaskofu wa Ngara wa madhehebu yote ni viongozi makini na wachungaji wema wa kondoo wao!
 
Shida wabongo hatuna utamaduni wa kuheshimu mawazo tofauti ya watu,ila tunataka tuwe na uongozi wenye kuheshimu uhuru wa kutoa maoni wakati sisi kama jamii(ambao ndio hutoka viongozi) hatuna huo utamaduni.
 
45 Reactions
Reply
Back
Top Bottom