PICHA: Anne Makinda Ashiriki Msiba Wa Mzee Rajani... Pia Mangla M'MWENYEKITI alihudhuria...

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

[h=3][/h]


Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza waombolezaji kuweka maua katika mwili wa Mzee Jayantlal Rajani ikiwa ni ishara ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu wakati wa kuaga mwili wa marehemu Mzee Rajani nyumbani kwake upanga jijini Dar es salaam leo.


Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philip Mangula wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa mzee Rajani .




(Picha na Owen Mwandumbya).

 
Oh RAJANI alikuwa MZEE wa YANGA... R.I.P

ANGALIA TEAM yote ya CCM imekimbilia KILIONI... ni PESA za BURE alizokuwa anakipa CHAMA KITUKUFU
 
Kwa hiyo wanasafirisha mwili kuchomea India

Makaburi ya DINI yao yako hapa NCHINI; haujapita MAENEO ya UPANGA? na Unajua alifia LONDON, UK Lakini NCHI yake ni Tanzania na sio INDIA...

Kuna wahindi Wazalendo Unajua???
 
Makaburi ya DINI yao yako hapa NCHINI; haujapita MAENEO ya UPANGA? na Unajua alifia LONDON, UK Lakini NCHI yake ni Tanzania na sio INDIA...

Kuna wahindi Wazalendo Unajua???
Wahindi wazalenda ndiyo nawajua sana, si akina Dewji,Manji, yule mhindi wa Superdol na akina Rostam Aziz
 
Back
Top Bottom