PICHA: Angalia jinsi CCM inavyoweka maisha ya watoto hatarini

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Sijui ni lini jamani CCM itajifunza kuacha kutumia watoto kwenye siasa, tulitegemea wangejifunza kutokana
kifo cha mtoto yule wiki iliyopita lakini CCM pamoja na kujifanya wana majonzi makubwa ya kifo cha mtoto
yule lakini wanaonekana kuendeleza tabia yao ileile ya kutia maisha ya watoto hawa hatarini for political gain.

5.jpg

picha hii ya Fuso likiatarisha maisha ya watoto(Igunga) kwa kuwajaza humo huku mlango ukiwa wazi labda kwa ajili
ya kuwaruhusu wengine waendelee kudandia, jamani je watoto wangapi wafe mpaka ccm iache mambo haya??
 
hivi,si ilishapigwa marufuku kubeba watu kwenye malori?ama wakati wa uchaguzi kunakuwa na exceptions?
 
wanafuata mziki si unajua mambo ya watoto .wajibu wao wangekuwa wana nia nia njema na watoto hao wasingewaruhusu kupanda.nimehudhuria mikutano mingi ya chadema sijaona makundi ya watoto .
 
Bila hao watoto mkutanoni patapwaya ndio maana wanawakusanya kwa wingi.
 
Polisi mliodai kuwa mtahakikisha usalama wa raia unalindwa mko wapi wakati CCM wazi wazi ikihatarisha maisha ya watoto au watoto sio raia??
Lile gari lenye kingora lilozunguka mji mzima vipi leo mbona halionekani kuakikisha maisha ya watu vinalindwa ??
 
Ninachoamini mimi CCM wameshindwa kujua kuwa muda wao umeisha hivyo wanachofanya ni liwalo na liwe, yaani kwa neno jingine ni ubabaishaji. Watoto wanawaitaji mikutanoni ili wajaze viwanja na kamera zioneshe watu wengi. Hawafikirii kuwa watoto hawapigi kura.
 
Inaelekea ndio sera yao. Si mnakumbuka jinsi Tambwe Hiza alivyowajaza watoto pale Karimjee kwenye mdahalo.
 
Sijui ni lini jamani CCM itajifunza kuacha kutumia watoto kwenye siasa, tulitegemea wangejifunza kutokana
kifo cha mtoto yule wiki iliyopita lakini CCM pamoja na kujifanya wana majonzi makubwa ya kifo cha mtoto
yule lakini wanaonekana kuendeleza tabia yao ileile ya kutia maisha ya watoto hawa hatarini for political gain.

5.jpg

picha hii ya Fuso likiatarisha maisha ya watoto(Igunga) kwa kuwajaza humo huku mlango ukiwa wazi labda kwa ajili
ya kuwaruhusu wengine waendelee kudandia, jamani je watoto wangapi wafe mpaka ccm iache mambo haya??

hii ni dedication kwa malaria sugu,rejao,mwita25 na faidha foxy.... ccm hawana wapiga kura tena! nairudisha picha hii kwa mara ya pili tena. Maandamano2.JPG Maandamano2.JPG
 
Attachments

  • 71598_457101522471_823957471_5395767_2365798_n.jpg
    71598_457101522471_823957471_5395767_2365798_n.jpg
    102.1 KB · Views: 91
Wasijewatia vilema vya maisha kwa uchu wao wa madaraka waawaache watoto wakue bwana mambo gani ya kuwaswaga kama mbuzi CCM dubly dubly kwa kweli
 
Watoto ndo watanzania pekee ambao CCM inaweza "kuwashawishi" wakahudhuria mikutano yao.
Labda watapeleka mswada bungeni watotokuanzia miaka mitano waruhusiwe kupiga kura.
Itapita, magamba yako mengi bungeni.
 
Wanataka idadi ya watoto watakao kufa itimie ili kafara nayo itimie.
 
Sijui ni lini jamani CCM itajifunza kuacha kutumia watoto kwenye siasa, tulitegemea wangejifunza kutokana
kifo cha mtoto yule wiki iliyopita lakini CCM pamoja na kujifanya wana majonzi makubwa ya kifo cha mtoto
yule lakini wanaonekana kuendeleza tabia yao ileile ya kutia maisha ya watoto hawa hatarini for political gain.

5.jpg

picha hii ya Fuso likiatarisha maisha ya watoto(Igunga) kwa kuwajaza humo huku mlango ukiwa wazi labda kwa ajili
ya kuwaruhusu wengine waendelee kudandia, jamani je watoto wangapi wafe mpaka ccm iache mambo haya??

Nashangaa sana kwenye thread kama hizi simuoni FF,Rejao,Arafat,Ritz1 na mwita. Mmeanza kupepereka shuhuli imekua tete upande wenu.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom