Anafanana na mbunge musukuma huyu!mzee babaView attachment 812506
honeymoon ya porini hyo
Hivi bi harusi yupo kweli? Mbona hasikiki tena na bwana harusi anazunguka mwenyewe tena hata pete kaivua. Kunani?
Hivi alipona ugonjwa uliompeleka baada ya kunywa hicho kikombe au amepata kaunafuu kidogo au ugonjwa umeongezeka?Mie hii hapaView attachment 813354
Hivi alipona ugonjwa uliompeleka baada ya kunywa hicho kikombe au amepata kaunafuu kidogo au ugonjwa umeongezeka?Mie hii hapaView attachment 813354
Hauna dawa ule!Hivi alipona ugonjwa uliompeleka baada ya kunywa hicho kikombe au amepata kaunafuu kidogo au ugonjwa umeongezeka?
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app