Dec 26th 2013
Teheheheeeeeeeeee, huyu hana jimbo, hana cheo ccm, hana cheo serikalini sasa anahutubia nn? Hlf mbona kama anahutubia jinsia moja tu?
Hivi kwa nini Zanzibar majengo ayo mengi hajapakwa rangi. Na mengi yanaonekana ya zamani kwa nini. Huwa hajengi nyumba mpya?
Hivi kwa nini Zanzibar majengo ayo mengi hajapakwa rangi. Na mengi yanaonekana ya zamani kwa nini. Huwa hajengi nyumba mpya?
Nchi hii ina mambo ya ajabu sana. Mtu anaratibu mauaji halafu anapokelewa kishujaa. Wanachojaribu kuonesha hapa ni kma Rais hakutumia busara kuwaondoa. Mawaziri wa Lowassa na mradi wa kumhujumu JK. Wakati umefika sasa najiondoa ccm. Kwa staili kila kitu kitakwisha halafu wezi na wauaji tutawapokea kwa ngoma
aise kumbe ulikuwa bado utumwani kamanda!pita hivi wewe,wenzako walikuwa juu kicheo lakini wakapita hivi baada ya kuona maccm yanaongoza kwa kumwaga damu,ufisadi,wizi na wachache wanufaike na maelfu wafe na umaskini!upo wapi wewe mbona ulikuwa ujajanjaruka mpaka leo wakati kina Milya wameacha kula haramu long time ago?tafuta makamanda eneo uliopo wakuvalishe gwanda wewe!!!!!
Teheheheeeeeeeeee, huyu hana jimbo, hana cheo ccm, hana cheo serikalini sasa anahutubia nn? Hlf mbona kama anahutubia jinsia moja tu?