Picha: ALABAMA, ZANZIBAR - SHAMSI VUAI akiwahutubia Wananchi Wake...

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Dec 26th 2013

1522216_756797134350152_34667239_n.jpg
 
Teh teh, wanasiasa wetu kazi ipo, kila anayefukuzwa kwenye cheo anarudi kwao na kuzungumza na wananchi!
 
Teheheheeeeeeeeee, huyu hana jimbo, hana cheo ccm, hana cheo serikalini sasa anahutubia nn? Hlf mbona kama anahutubia jinsia moja tu?

Ana JIMBO ni MWAKILISHI huko Zanzibar; Aliposhindwa kupata URAIS wa ZANZIBAR ndipo pia KIKWETE akampa UBUNGE hivyo basi akapata UWAZIRI BARA... Lakini Kikwete alitaka awe Makamu wake wa Rais Mpaka visa vya BILAL vikajirudia huko ZNZ
 
CCM ndio kichaka cha watu kama Nahodha baada ya kukosa wadhifa ZANZIBAR na pia baada ya kutemwa na Kikwete. Hapo hatokuwa na jipya la kisema isipokuwa ccm hoyeee.
 
Nchi hii ina mambo ya ajabu sana. Mtu anaratibu mauaji halafu anapokelewa kishujaa. Wanachojaribu kuonesha hapa ni kma Rais hakutumia busara kuwaondoa. Mawaziri wa Lowassa na mradi wa kumhujumu JK. Wakati umefika sasa najiondoa ccm. Kwa staili kila kitu kitakwisha halafu wezi na wauaji tutawapokea kwa ngoma
 
Hivi kwa nini Zanzibar majengo ayo mengi hajapakwa rangi. Na mengi yanaonekana ya zamani kwa nini. Huwa hajengi nyumba mpya?

Kwa kweli ccm imekufa zanzibar, leo katika mkutano aliofanya zanzibar nahodha wamejitokeza wana ccm wachache sana licha ya matangazo mengi ya kuwashawishi watu wajitokeza, wengi waliojitokeza ni wafuasi wa cuf, hii ni dalili njema kwa wana mabadiliko.
 
hii mizigo ni noma sana haina hata aibu ! Kugharamia mapokezi yako mwenyewe maana yake nini ?
 
Nchi hii ina mambo ya ajabu sana. Mtu anaratibu mauaji halafu anapokelewa kishujaa. Wanachojaribu kuonesha hapa ni kma Rais hakutumia busara kuwaondoa. Mawaziri wa Lowassa na mradi wa kumhujumu JK. Wakati umefika sasa najiondoa ccm. Kwa staili kila kitu kitakwisha halafu wezi na wauaji tutawapokea kwa ngoma

aise kumbe ulikuwa bado utumwani kamanda!pita hivi wewe,wenzako walikuwa juu kicheo lakini wakapita hivi baada ya kuona maccm yanaongoza kwa kumwaga damu,ufisadi,wizi na wachache wanufaike na maelfu wafe na umaskini!upo wapi wewe mbona ulikuwa ujajanjaruka mpaka leo wakati kina Milya wameacha kula haramu long time ago?tafuta makamanda eneo uliopo wakuvalishe gwanda wewe!!!!!
 
vipi kamanda umepata hasira au bado una moyo wa farao?
 
Du! kweli siasa ni noma leounaweza tembelea shangingi kesho hata Vitz ukakosa kuweka wese!:israel:
 
Teheheheeeeeeeeee, huyu hana jimbo, hana cheo ccm, hana cheo serikalini sasa anahutubia nn? Hlf mbona kama anahutubia jinsia moja tu?

Una uhakika hana jimbo? Huyo ni mwakilishi wa BWZ jimbo la Mwanakwerekwe
 
Back
Top Bottom