Picha: ALABAMA, ZANZIBAR - SHAMSI VUAI akiwahutubia Wananchi Wake...

Teheheheeeeeeeeee, huyu hana jimbo, hana cheo ccm, hana cheo serikalini sasa anahutubia nn? Hlf mbona kama anahutubia jinsia moja tu?
Nawe umeliona hilo! Wapo walionufaika na mkutano huo na wapo ---------- bila kujijuwa.
 
Nahodha ni mmoja Kati ya wanasiasa wachapakazi na waadilifu gaps nchini. Yukon makini sn.
 
Huyu jamaa toka ateuliwe kua waziri ameishi Hotelini na familia yake kwa kodi za Watanzania! Kweli katika mawaziri mizigo ni huyu jamaa Halafu nimemsikia akiwahutubia wananchi huko Zanzibar kwa kuwahadaa na kiswahili chake cha kuongelea puani halafu wananshangilia, kweli Wazanzibari mna kazi!
 
Hii tabia ya kila anaevuliwa madaraka kukimbilia kwao kuhutubia wakati alikuwa kiongozi wa kitaifa naomba ife. Ipigwe marufuku kwenye katiba yetu, hiki ndio chanzo cha ukanda na udini hapa nchini...
 
Nimeipenda stail ya ccm wakihisi hawapati watu wanaadaa viti kama kikao cha family
 
Back
Top Bottom