Picha Ajali ya Kibamba 25-03-2010

Status
Not open for further replies.

Nanu

JF-Expert Member
May 29, 2009
1,222
68
Niliweza kufika eneo la tukio na kupata picha. Ni hali mbaya sana hasa ukiangalia kuwa daladala mabati yamekutana na watu wengi walikuwa wamenasa katika mabati na uvunguni mwa lorry na mabaki ya Daladala. Angalizo: Baadhi ya picha zinatisha, kama hujajiandaa kuona usiangalie tafadhali!!

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • DSCF0021.jpg
    DSCF0021.jpg
    51.7 KB · Views: 585
  • DSCF0023.jpg
    DSCF0023.jpg
    76.5 KB · Views: 551
  • DSCF0026.jpg
    DSCF0026.jpg
    58.3 KB · Views: 544
  • DSCF0035.jpg
    DSCF0035.jpg
    55.6 KB · Views: 530
  • DSCF0037.jpg
    DSCF0037.jpg
    39.1 KB · Views: 523
  • DSCF0038.jpg
    DSCF0038.jpg
    49.7 KB · Views: 523
  • DSCF0040.jpg
    DSCF0040.jpg
    30.9 KB · Views: 529
  • DSCF0042.jpg
    DSCF0042.jpg
    30.1 KB · Views: 531
  • DSCF0043.jpg
    DSCF0043.jpg
    33.9 KB · Views: 519
Hivi ni upumbavu wa madereva au ubovu wa magari au kutojali maisha au uongozi mbaya au kushindwa kwa sheria za barabara au vyote.

Ni lini hii mambo ya kuchinja watu kumia motokaa itaisha?
 
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=MeD8h_sHn2E&feature=player_embedded"]YouTube- ajali ya kibamba video.flv[/ame]#
 
its so sad, hizi picha ikifika kesho zitolewe tu, thanks for information
 
Huu upuuzi uachwe sasa. kuweka picha za watu hawa ni kuwakosea heshima. moderators mfungie huyu aliyetoa picha hizi watu hatuna utu hata kidogo najua labda nimwandishi wa habari ambaye ataenda kuuza picha hizo.

Tujifunze / tuige toka kwa wenzetu, hivi 9/11 kuna mtu aliona picha za marehemu wale, ukiondoa yule aliyejirusha ( Hata hivyo alikuwa hajafa) na ukienda hata Israel wakipigwa Suicide Bomb wala uoni picha za wapendwa wao ktk vyombo vya habari kama tufanyavyo sisi. Tafadhali tuwe na NIDHAMU. ~@@:*&^%$£" zako uliyeweka picha hizi. Habari tu ilikuwa inatosha

NYATI
 
Miili ipi hiyo ya 9/11, kama chuma/vyuma vya hizo twin t, viliyeyuka, kuna mwili/miili ilibaki?
 
Jamani, when will our Government speak up of Road Carnage and seriously do something about it? Mbona tupoteze ndugu zetu kila siku? These are not just statistics, its a tragedy and calamity. Somebody speak up to curb these headlines!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom