Picha: Ajali, Lori la mizigo na gari la kampuni ya Pepsi yagongana Bagamoyo

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,678
22,685
Ajali imetokea muda huu eneo la Sanzale Bagamoyo, ambapo gari mali ya kampuni ya Pepsi limegongwa na Lori la mizigo. Dereva wa Center amejeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitali.

Tutakujuza zaidi Sikiliza 100.5 Times Fm kwa taarifa zaidi.
14102189_1158197324259526_1570231336012728362_n.jpg
 
Duh! lini zitagongana gari la keki na soda..?
it's just a joke...
pole kwa wahanga
 
Duh! lini zitagongana gari la keki na soda..?
it's just a joke...
pole kwa wahanga

Halafu zamani nilikuwa na bahati ya ajali za magari ya soda.
Eneo tulilokuwa tukiishi ni karibu na highway halafu kuna kona kali.
Hazipiti week 2 kama sio ajali ya gari la Coca basi pepsi.
Halafu ya Coca ni yale makubwaaaa...
Acha kabisa,nyumbani tulikuwa na grocery
 
Ha ha kuna watu utawafanya waamie maeneo hayo! hicho kisa kitawavutia
 
Back
Top Bottom