Walewale mnaolilia picha za ajali.Hii camera ya nokia ya tochi au
Kulikuwa hamna haja ya kuweka picha basi ni mbaya kuwapiga picha majeruhi ila picha ya gari hakuna tatizoWalewale mnaolilia picha za ajali.
Habari ilivyo na hiyo picha vimejitosheleza kabisa.
Duh! lini zitagongana gari la keki na soda..?
it's just a joke...
pole kwa wahanga
Ha ha kuna watu utawafanya waamie maeneo hayo! hicho kisa kitawavutia
Halafu zamani nilikuwa na bahati ya ajali za magari ya soda.
Eneo tulilokuwa tukiishi ni karibu na highway halafu kuna kona kali.
Hazipiti week 2 kama sio ajali ya gari la Coca basi pepsi.
Halafu ya Coca ni yale makubwaaaa...
Acha kabisa,nyumbani tulikuwa na grocery
Chikira, kwa vile wewe ni verified user, wewe ni nani na uko, unafanya nini.Mungu tunusuru na hizi ajali za mara kwa mara
Inshallah God is merciful...lakini dereva anaweza kufa kwa kukosa matibabu ya harakaKama hakuna aliyekufa ni jambo la kheri.
Ajali nyingine ni kama uonevuAjali imetokea muda huu eneo la Sanzale Bagamoyo, ambapo gari mali ya kampuni ya Pepsi limegongwa na Lori la mizigo. Dereva wa Center amejeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitali.
Tutakujuza zaidi Sikiliza 100.5 Times Fm kwa taarifa zaidi.
View attachment 390383