PICHA: Aibu Kalenga..,LEMA ahutubia watoto.

Tunawaambia kila mara.

Dhambi ya ubaguzi wa kikabila na kidini imeanza kuwatafuna CHADEMA kwa sasa nje ya CHADEMA baada ya kuimaliza ndani.

Huwezi kutoa maamuzi yenye misingi ya kikabila na kidini ukasalimika ndani ya chama. La hasha.

Law of Karma lazima ipitishe makali yake ili ikutafune kwa njia yoyote.

Chunga vidole vyako, serious.
Achana na hii propaganda chafu.
 
kha kha kha CDM kushnei!!!! biashara Kalenga imekwisha,sasa tukiwamalizia Chalinze tutawaachia magomvi ya gharama za CHOPA.
 
Duh sijui umerogwa
au ni kile kinywaji kikali ambacho babu anataka kihalalishwe hapa
nchini,,dah majanga.

Dada yangu nilikushauri kuwa kutokana na hii kwaresma umrudie Mungu husikii husikii unaona unavyo zidi kuwehuka angalia sana dada yangu familia yako na mie pia bado tunakupenda tafadhari rekebisha tabia yako maana hatua uliyo fikia ni wazi unaelekea kuokota makopo.!
 
Dada yangu nilikushauri kuwa kutokana na hii kwaresma umrudie Mungu husikii husikii unaona unavyo zidi kuwehuka angalia sana dada yangu familia yako na mie pia bado tunakupenda tafadhari rekebisha tabia yako maana hatua uliyo fikia ni wazi unaelekea kuokota makopo.!

hujielewi we msukule
 
Mwigulu anapotembea na wagongwa wa akili kina Tesha kwako siyo udharirishaji?

WALE NI WATU WAZIMA NDUGU TOFAUTISHA NA HAWA WATOTO
 
Duh sijui umerogwa au ni kile kinywaji kikali ambacho babu anataka kihalalishwe hapa nchini,,dah majanga.

Dah ! sasa Shosti, ndo wanakulipa kiasi gani baada ya wewe kupost huu -----? Miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania, mbona Kalenga iliyokuwa Ngome ya Shujaa wetu Mkwawa hamjajenga hata Kituo cha Kumbukumbu ya Kumuenzi Mkwawa? Kama Baba Mtu mlimnanga kuwa ni miongoni mwa Mawaziri Mizigo, then mkampeleka SA for checkup, kisha mkamrejesha ndani ya sanduku! Je Mwanae mtamfanya nini? Marehemu alikataa katakata misaada na badala yake alitamani kufuta misaada yote kwa maelezo kuwa missaada yote inayotolewa inalingana na kiasi cha misamaha ya kodi tunayotoa!!! kwanini mlimuundia Zengwe?... kulipa fadhila kwa style hii ya Prof Malima mtaacha lini?... RIP CCM...
 
Hujui kuwa watoto ndio taifa la kesho!??

Lakini hata hivyo, mbona picha za CCM zote umeonyesha end elevation (kwa nyuma)halafu hiyo ya CHADEMA umeonyesha front elevation?(kwa mbele).

Kwa sababu katika hali ya kawaida mbele wanaanzia watoto halafu nyuma ndio watu wazima, Mbona huonyesha nyuma ya katika huo mkutano wa Lema ili tuamini kweli wote hapo ni watoto?, na pia kwa nini huonyeshi mbele ya hiyo mikutano ya CCM ili tuamini hakuna watoto kama kwa Lema, mbona hamko fair!!??

Hivi mbona CCM mnaishi kwa ujanja ujanja tu, uwongo mwiingi, udanganyifu udanganyifu, gilba nyingi na hila!!, Ngachoka mie.
 
CDM hawana jipya hawa!!!
Tatizo wakiona wa2 weng wanadhan ndio kukubalika, kumbe wa2 wanaenda kushangaa chopa zao

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Mwigulu anapotembea na wagongwa wa akili kina Tesha kwako siyo udharirishaji?

WALE NI WATU WAZIMA NDUGU TOFAUTISHA NA HAWA WATOTO
Umevurugwa. Musa tesha sio mgonjwa wa akili, alimwagiwa tindikali na katibu wa chadema mkoa wa kinondoni henry kileo (laana kuu imwendee). Chadema ni wauwaji, wamwaga damu, watoa roho
 
Chunga vidole vyako, serious.
Achana na hii propaganda chafu.
Wewe wasema!.

Badala ya kwenda kuwaambia wanaotenda, unaniambia mimi mpita njia.

CHADEMA has serious questions to answer!.

Hata ukinifunga mdomo haisaidii kwa sababu watendaji ni wengine. I'm just a victim of a serious situation emanate from CHADEMA machinery.
 
Back
Top Bottom