Picha 7 za kusisimua zitakazokuacha mdomo wazi

Asante kwa picha zinahuzunisha sana namba moja inaumiza mno kwakuwa mtoto aliuawa na hakika angeweza okolewa na huyo mama namba sana ameangusha sana wakina mama kwani angewza fanya kitu cha upendo na huruma kwa majeruhi tujifunze kutoa msaada kwa wahitaji ,hawa watoto wanaookota okota na hao wanaoenda au kutoka shule hii ndio hai halisi inayoendelea katika maisha inaumiza sana hata hapa Tanzania hiyo hali ipo asubuhi unaiona unajiuliza hata hujui ufanye nini Mungu aingilie kati kwakweli...hizi picha za nyingeza....huyu mtoto yatima katikati ya makaburi ameniliza saba hakika hali ni mbaya sana ukipoteza wazazi ....
 
Akishamaliza Kupiga Picha no. 7 anatupia Facebook anatushauri tu Like na ku share Kama tumeguswa na Hiyo Picha
huu upumbavu kwa kweli siupendi hata kidogo utasikia comment amen kama unaroho ya kibinadamu
 
Picha ya mwisho imenigusa sana. Hivi utajisikiaje ile dakika unayoitumia kupiga picha ndio dakika hiyo hiyo majeruhi anakata roho kwa kubanwa na hayo mabati? Unajisikiaje kujua kumbe ile dakika ambayo uliitumia kuandaa simu yako(kutoa lock, kwenda kwenye camera na kuiset vizuri upate a clear pic) ingetosha kuokoa maisha ya majeruhi?Alafu mbaya zaidi ukishawarushia wenzako unaifuta hiyo pic kwenye galley yako.
Watanzania tubadilike hii yechnolojia tuliyonayo sasa isitusahaulishe utu wetu kama watanzania wote ni ndugu. Toa msaada pale unapoona unaweza saidia
 
Kama vipi weka picha nyingine zaidi za mhadhiri akipambana na wanausalama
 
Back
Top Bottom