picha 35 za fumanizi kali za kufungia mwaka 2012 (mke/mme wa mtu ni sumu) tujirekebishe 2013

Status
Not open for further replies.

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
zz6.jpg imagess.jpg d9ac1fc532L.jpg View attachment 75551View attachment 75552 12.jpg fumaniz22.jpg fumanizi.jpg FUMANIZI4.JPG FUMANIZI4.JPG Fumanizi-3.jpg a.JPG b.JPG d.JPG imagesv.jpg imagesz.jpg mh.png 7.jpg adhabuyakufumaniwa.jpg fumanizi3.jpg imagesb.jpg fumanizi.jpg fumanizi la njagu wa kike.jpg Fumanizi-la-mabibo.png imagesx.jpg Fumanizi-la-mabibo.png Fumanizi-sengerema.jpg 4195940_2011_160.jpg

picha nyingine nimeziba nyeti kwa sababu maalumu,kuingia 2013 naomba wana jf tuheshimu mke/me wa mtu,sababu ujui ukifumaniwa nini utafanywa
 
fumanizi2.JPG imagesloliondo.jpg imagesm.jpg imagesn.jpg fumanizi-2.jpg imagesjk.jpg

tuheshimu wake/waume wa watu,kuchukua mke/mme wa mtu uku ukiwa unafahamu jua kwamba za mwiz ni 40,utazalilishwa na autosahau maishani,sehemu nyingine nimeziba kwa sababu maalumu,kuingia 2013 tujirekebishe sana
 
Mifano yote hii lakini bado mijitu haikomi utakuta inajiliwaza... "Yani mapenzi ya kuibia matamu sana ukianza tu huachi" sasa subiri wakatwe nyeti ndo wataujua utamu ulipo!
 
Mbona fumanizi la mwigulu nchemba la tabora alilo kuwa ana mega yule mke wakada wa CCM zija iona?
 
001.jpg 002.jpg 004.JPG 003.JPG 005.jpg

006.JPG ona na nguvu ya taifa,imeacha kazi zao,imeenda kushangaa walioganda temeke,jaman mke/mme wa mtu ni sumu
 
Mambo ya migegedo

watu inatakiwa wawe makin na migegedo,mimi niliwai kushuudia jamaa akiliwa 0713 na mwanajeshi sababu ya kutembea na mke wa mjeda uyo picha lilikuwa hivi,
uyo mwanajeshi alikuwa ni mtu wa kusafiri safiri kwenda kambi ya uko mrogoro kikazi,sasa pale kwa mtaa kuna kijana alikuwa anaenda kulala na uyo mwanamke,mjeshi akisafiri,sasa watu wa kwa mtaa wakamtonya uyo mjeshi,kuna siku alizuga kama anasafiri tena,wife alimsindikiza adi ubungo mjeda akaingia kwa bus
baadae aliteremka wakatu huo mke amejua mjeshi yuko moro,kajamaa usiku kakaingia kwa uyo mwanamke,watu wa mtaa wakamwambia mjeshi,yule mjeshi alirudi kama saa 5 usiku akavunja mlango alikuwa na majamaa 6 hivi,kuingia wakamuingilia jamaa kinyume na maumbile,alianza mjeshi wengine wakafuaata,harafu wakamwambia jamaa aende wakampa msamaha baada ya kumla mtandao,harafu mjeshi akamsamehe wife
 
hicho chumba si kilijaa harufu sana ya 0713
 
hicho chumba si kilijaa harufu sana ya 0713

yani harafu mjeshi alivyo jeuri wala akumpiga wife wake,alimkomoa jamaa tu,kisha mjeshi akamla na wife yake tena,apo wife awezi goma,jamaa usiku huo huo aliama mtaa,sijui alipoenda
 
asiyesikia la mkuu huliwa tio na afuatayenyuki huambulia manundu.
 
Watu kama wana akili za chuma hapa mifano ya kutosha na picha juu lakini hiyo 2013 mambo yatakuwa hivi hivi tuu
 
Watu kama wana akili za chuma hapa mifano ya kutosha na picha juu lakini hiyo 2013 mambo yatakuwa hivi hivi tuu

watu awatak kusikia kila mwaka wanafumaniwa,tutakuwa tunawarusha tu ewani watu waone kama wakishikwa,ili mradi nipo hai nitawarusha tu
 
watu awatak kusikia kila mwaka wanafumaniwa,tutakuwa tunawarusha tu ewani watu waone kama wakishikwa,ili mradi nipo hai nitawarusha tu

Money Stunna, Cheating is always immoral no matter what the reasons might have been. But the in order to prevent cheating from happening you must know the major reasons why people actually cheat. You see it's often better to learn from other people's mistakes than make it yourself and suffer. It's better to be aware than to be sorry later. This is the major reason why you must know these before it's too late. Read on to discover some of the major reasons why people cheat in a relationship.......

1. An empty feeling in the relationship- This is something which happens a lot in a lot of relationships on a regular basis. Often when it's been several years into the relationship one of the partners starts feeling that there is nothing much left in the relationship and it's being dragged but at the same time is scared of confronting their lover. Due to this they often end up cheating.

2. Constant arguments- This is another major reason why people end up cheating on their lovers. You see when there are constant conflicts and arguments in the relationship it tends to disturb the peace of mind and humans have a tendency to gain pleasure and avoid pain therefore often in order to take emotional revenge one of the lovers ends up cheating on the other.

3.Habit of cheating- Now this is something you must enquire about before you get into a relationship. You see often what happens is that some people have a tendency and habit to cheat and they can't control themselves even when they might promise to change. Therefore make it a point to check on your lover's history before you get into any long term relationship.

4. What you don't know yet- Ever tried to wonder what's in a woman's mind? What is she thinking about? Do you know that women do not always mean what they say? They might say something and mean the exact opposite. But what do women actually want? Do you know there are some secrets women don't want men to know but you absolutely must know these secrets in order to succeed with women?

Article Source: Why Do People Cheat in a Relationship? Here Are the Major Reasons You Can't Afford to Miss
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom