PICHA 10: Muonekano wa ndani wa Ndege ya Donald Trump

The Certified

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
910
773
8-1024x680.jpg

Rais Mteule wa Marekani Donald Trump anazidi kuzimiliki headlines kubwa wakati ikijiaandaa kuingia Ikulu ya White House. Mbali na nafasi aliyoipata mfanyabiashara huyo tajiri, tunafahamu kuwa Trump anamiliki ndege yake binafsi ambayo ndiyo anayoitumia kwenye safari zake kama usafiri wake binafsi.

Ndege hiyo aina ya Boeing 757 imetajwa kuwa na thamani ya £63m ambazo ni zaidi ya shilingi billioni 147 za kitanzania, ina uwezo wa kubeba abiria 239, ndani yake kuna Sinki la kunawia ambalo limetengenezwa kwa Gold pia seat zake ni sofa zenye urembo wa Gold.

1415983502244_wps_11_Billionaire_Donald_Trump_.jpg


1415983507971_wps_13_An_interior_shot_of_the_T.jpg


1415983565787_Image_galleryImage_An_interior_shot_of_the_T.jpg


1415983600458_Image_galleryImage_Billionaire_Donald_Trump_.jpg


1415983602581_wps_28_An_interior_shot_of_the_T.jpg


1415983652863_wps_34_Billionaire_Donald_Trump_.jpg


1415983709944_wps_35_Billionaire_Donald_Trump_.jpg


1415984682439_wps_50_Billionaire_Donald_Trump_.jpg


a949f919d5b80c376c82340bd9207161.jpg
 
''i always like to fly'' Donald J.Trump,
Huyu jamaa ana lugha za tambo balaa ukisoma vitabu vyake,huyu uraisi hawezi ila anaweza biashara na kula bata tuu hii ndo talent yake!
Mzee wa ''Think Big,Live Large'', ''iI know How To make money and i know how to spend it'', In Business if you screw me,i screw you Back'', ''Every Thing I touch it turn to be a gold"
 
Quinine Mwitu Huyu ndio J Trump Mzee wa ''Think Big,Live Large'', ''iI know How To make money and i know how to spend it'', In Business if you screw me,i screw you Back'', ''Every Thing I touch it turn to be a gold"
 
Back
Top Bottom