#COVID19 PIC Makubi chunguza kitengo cha COVID 19 JNIA, wasafiri wanalazimishwa kulipia tena wakati washachanjwa

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Haya malamiko niliyapata wiki sasa nilikuja kupokea Wamalawi sita wana docs zote kuonyesha wamechanjwa na hawana Covid.

Wazee wa JNIA pengine wamo uliowasimamisha kazi wamekuwa wakisumbua sana wasafiri kwa kuwalazimisha kutoa hela ingawa wengi wakishatoa wanapitiliza nje.

Nashauri wenye kuwa na docs zinazokubalika kmataifa wasisumbuliwe.

Hii hali itafanya wasafiri watatukimbia. Ona wameshiba hela sasa hata kazini awaingii tena mpaka unaenda kukagua katibu wa wizara.

Yaani ushauri ungekagua toka nyuma ungekuta ndio kamchezo.Chaoo...Wakishashiba hela.Wanachiana sasa next tym .Anza na bosi.Wao.Hapo.Kuna shida.Kunwa.Tu. Ukiweza.Nenda kagua of vle. Vikadi vyao bei ghali na chanjo watu hawapewi.

Nakupiongeza kwa kazi nzuri katibu hizi za kuviizia bila kutaarifu hamishia ma hosptalini mwananyamala nk. Ongea na wagonjwa wodini watoe ya moyoni.

Mfanyie kazi.

#kazi iendelee
 
Hii sio jNIA tu hata huko USA ukienda unacheck tena unalipia 250$ kwa baadh ya state, kuna rafik yangu anasema ukikaa Airpot moja kwa ajil ya kusubir ndege zikipita siku tatu unapima tena inabid ulipie
 
Back
Top Bottom