physics lazima katika unesi na udocta

Jun 2, 2013
6
0
elimu ya tanzania kwa mwaka huu imeshuka kupita kiasi na wanafunzi wamefeli sana japo kuna malekebisho walofanya.lakini masomo ya sayansi hasa phisikia watu wamefeli sana. Ipi sababu ya health fund kusema physiksi lazima wakati wanajua watu wamefeli sana. Myaka yote hiyo ilikua physics/mathe mwaka uu kunani sikukomoana uku
 
May be medical experts watujuze which is more relevant to studying medicine: physics and biology au chemistry and biology.
 
nilidhani bio chemistry inayo uzito zaidi hasa ukizingatia recent advances in medicine mfano stem cells research.
yote ni muhimu sana kwenye medicine hasa chemistry na physics uwe umefaulu vizuri medicine haichukui watu hovyo kichwani aisee
 
Kama kufeli ulifeli peke yako,yaani ingekuwa kwenye kusoma tunaoneana huruma kama ambavyo unafafanua nchi yote hii ingejaa madaktari na wahandisi,piga msuli acha majungu mbona kuna shule watu wamechana kinomanoma
 
Hiyo ipo sehemu nyingi za dunia you want to be doctor pass on Physics , Chemistry , Biology lazima
 
Back
Top Bottom