Physics /chemistry teacher nipo hapa advance au o'level nafundisha

Sep 21, 2017
13
45
Nimemaliza chuo mwaka huu bachelor of science with physics & chemistry education. Natafuta kazi ya kufundisha physics / chemistry popote. Uzoefu ninao wakutosha
Contacts 0769377578
 
shamajengo

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
1,219
2,000
Nimemaliza chuo mwaka huu bachelor of science with physics & chemistry education. Natafuta kazi ya kufundisha physics / chemistry popote. Uzoefu ninao wakutosha
Contacts 0769377578
Mwalimu kama bandiko hilo umezingua barua ya maombi ya kazi unaweza mshawishi mwajiri kweli maana nijuavyo ni bachelor of science with education (chemistry and physics) sasa uliyoandika hapo sijui ni kozi gani au kama ipo inatofauti gani na hyo niliyotaja apo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom