Kama unatumia yii2 framework ni rahisi sana. Yii2 ina extension inayoitwa gii. Extension hii ina gui interface ,baada ya kuconnect na database . Fungua gii select table unayotaka kuitengenezea ,click generate crud, umemaliza , gii itakutengenezea CRUD code ya hiyo table .gii inatumia active record class hivyo table yako kwenye browser itakuwa responsiveHabari wanaJF, nataka nidisplay data from database iwe hivi kwenye page, shida inakuja how to create sql query to do this and php scripts.
View attachment 429265
Dah, mkuu hua napenda kusaidia watu lakini sio kwa level hii aisee.
Unahitaji tukuandikie scripts zote, we umejaribu kufanya nini? Onyesha angalau ulichokijaribu sio unatupa swali unataka tusolve kila kitu we umekaa tu tukupe jibu u-copy na ku-paste unakua hujajifunza chochote.
Unaulizia kuhusu sql query kuleta hiyo table, labda we nikuulize, hizo data umezitunza vipi kwenye database yako? Bila kujua ulivyozitunza tutakusaidia vipi? Au unataka tukusaidie hadi schema nzima ya database? Kama unahitaji hadi schema basi nitakushauri uende usome upya, kitu rahisi kama hicho hakikufaa hata kuulizwa, hata mtu aliyekaa saa moja kujifunza mysql from zero anaweza kukifanya.
Tuone ulipofikia au kama unataka ufanyiwe kila kitu ni PM kwa bei rahisi kabisa , kama ni msaada screenshot code zako au weka code zako hapa tuone ulipofikia
Kama unatumia yii2 framework ni rahisi sana. Yii2 ina extension inayoitwa gii. Extension hii ina gui interface ,baada ya kuconnect na database . Fungua gii select table unayotaka kuitengenezea ,click generate crud, umemaliza , gii itakutengenezea CRUD code ya hiyo table .gii inatumia active record class hivyo table yako kwenye browser itakuwa responsive
itakuwa vizur,framework nyingi zinaDaah sijaanza kutumia Framework. Ila nataka nijifunze Laravel
Unapata error gani kwenye hizo code zako<!DOCTYPE html>
<html lang="en">
<head>
<meta charset="utf-8">
<meta http-equiv="X-UA-Compatible" content="IE=edge">
<meta name="viewport" content="width=device-width, initial-scale=1.0">
<meta name="description" content="">
<meta name="author" content="">
<link rel="shortcut icon" href="../docs-assets/ico/favicon.png">
<title>SSM:: Lectures::</title>
<link href="css/bootstrap.min.css" rel="stylesheet">
<link href="css/bootstrap-theme.min.css" rel="stylesheet" type="text/css">
<link href="css/custom.css" rel="stylesheet">
</head>
<body>
<table class="table table-bordered table-hover">
<tr><th>StudentID</th><th>MATH</th><th>SCI</th><th>ENG</th><th>KISW</th><th>GEO</th><th>HIST</th><th>CIV</th><th>VS</th><th>Total</th><th>AVG</th></tr>
<?php
require_once("includes/dbconfig.php");
$sql = $connect->query("SELECT stid, MAX( CASE WHEN courseid = 'MATH' THEN marks END) MATH ,MAX( CASE WHEN courseid = 'ENG' THEN marks END) ENG,MAX( CASE WHEN courseid = 'KISW' THEN marks END) KISW,MAX( CASE WHEN courseid = 'GEO' THEN marks END) GEO,MAX( CASE WHEN courseid = 'HIST' THEN marks END) HIST,MAX( CASE WHEN courseid = 'CIV' THEN marks END) CIV,MAX( CASE WHEN courseid = 'VS' THEN marks END) VS, MAX( CASE WHEN courseid = 'SCI' THEN marks END) SCI FROM finalresults GROUP BY stid ORDER BY 1");
if($sql){
$sum = 0;
while($rows = $sql->fetch_assoc()){
$sum = $rows["CIV"] + $rows["ENG"]+ $rows["VS"] + $rows["KISW"] + $rows["GEO"] + $rows["HIST"] + $rows["SCI"] + $rows["MATH"];
print "<tr>";
print "<td>".$rows["stid"]."</td>";
print "<td>".$rows["MATH"]."</td>";
print "<td>".$rows["SCI"]."</td>";
print "<td>".$rows["ENG"]."</td>";
print "<td>".$rows["KISW"]."</td>";
print "<td>".$rows["GEO"]."</td>";
print "<td>".$rows["HIST"]."</td>";
print "<td>".$rows["CIV"]."</td>";
print "<td>".$rows["VS"]."</td>";
print "<td>".number_format($sum,2)."</td>";
print "<td>".number_format($sum/8,2)."</td>";
print "</tr>";
}
}
else{ print $connect->error; }
?>
</table>
</body>
</html>
Chief-Mkwawa hajui chochote kuhusu habari za coding. Yeye kabobea kwenye hardware tu. Bora ungenitag mimi