PHP & Javascript developer natafuta kazi

Php Guy

Member
Mar 28, 2021
14
13
Habari wakuu,

Kijana wenu PHP & JavaScript developer anatafuta kazi.

Nimesoma Computer science chuo kwa kipindi cha mwaka mmoja,sikuweza kuendelea kwa sababu ya kukosa mkopo.

Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote hapa dar kwa malipo ya kiasi chochote niweze mudu gharama za maisha.

Unaweza test uwezo wangu kabla kwa kunipa project yoyote ile ya web, pia nafaham vizuri Framework ya PHP ya Laravel,na vuejs+reactjs kwa JavaScript.

Naweza design API pia kwa Laravel na kuzi integrate kwenye react native application.

Kwa yoyote atakayejitolea nitamfata PM.

Bila kuwa na kazi zozote ulizofanya ni ngumu kujiajiri, watu hawawezi kukuamini,natafuta sehemu nitakayo simama kwanza
 
Project gani ambayo umefanya? Share hapa
Most of my projects nimehifadhi locally,japo baadhi nataka nizihamishie in my Github account as open source, sijafanya real project yoyote bado ambayo ipo hosted,thus why nimekuja kuomba connection ya sehemu ambayo nitaweza build real business application projects.

Ni vigumu MTU kukupa kazi yake unless umpe kazi ulizofanya tayari,na wewe unajikuta upo kwenye hatua ya kwanza ya Ku build networks ya clients, "egg - chicken problem"
 
Unatengeneza App? una kazi yoyote uliyowahi kuifanya?
Naweza tengeneza app na website pia,projects zangu nyingi nimezi host locally
Bado sijafanya real business project ambayo ipo hosted somewhere, au play store
Thus why nipo hapa,Ila unaweza nipa task ya kutengeneza website au app kabla hujanishika mkono just to test my ability, shukrani
 
Noted, Send your whatsapp number DM
 
Most of my projects nimehifadhi locally,japo baadhi nataka nizihamishie in my Github account as open source, sijafanya real project yoyote bado ambayo ipo hosted,thus why nimekuja kuomba connection ya sehemu ambayo nitaweza build real business application projects
Ni vigumu MTU kukupa kazi yake unless umpe kazi ulizofanya tayari,na wewe unajikuta upo kwenye hatua ya kwanza ya Ku build networks ya clients, "egg - chicken problem"

Sometimes unaweza kufikiria kitu ukatengeneza then ukaenda nacho kwa mtu au company ukamkonvince...Mimi i remember my first money kupitia app nilitengeneza app ya kustream radio online ilikuwa ni redio ya mkoani huko nikachukua stream url na nikasngalia web yao nikachukua ratiba za vipindi then nikatengeneza app,ilivyoisha nikawapigia simu kwamba kuna app nimetengeneza kwa ajili ya radio station yenu basi wakawa intrested wakaichukua,pia wakanipa hela 400k japo kwa kuanzia ilikuwa sio mbaya..so sio lazima huwe hata umepublish just tengeneza kitu chako then show people huwezi jua kuliko tu kuandika natafuta kazi maana wanaotafuta ni wengi
 
Shukrani kiongozi kwa ushauri wako,nitaufanyia kazi
 
Habari wakuu,bado napatikana
Kwa yoyote atakayekua na nafasi au ana kazi yoyote ya freelancing nipo tayari...natanguliza shukrani
 
Mkuu hizi local project zako zipublish iwe rahisi mtu kuona uwezo wako. Tumia github, netifly, heroku etc wanatoa free hosting
 
Bila kuwa na kazi zozote ulizofanya ni ngumu kujiajiri, watu hawawezi kukuamini,natafuta sehemu nitakayo simama kwanza
Hapa ndipo vijana wetu wa Kitanzania mnafeli vibaya sana. Huwa mnatumia hizi nafasi kama launching pads kuelekea kwenye mambo yenu. Yaani unafanya kama mkato wakati unaelekea kwenye nukta.

Unakuta kijana wa namna hii mwajiri anamchukua anamfundisha kazi na anapoanza kujua vitu, anaacha kazi au anaangalia kazi "inayolipa" zaidi na kusahau kabisa kwamba biashara anayoikimbia imemkuza na ku invest sana kwake na kwamba sio to anaitia hasara bali anafunga milango kwa wenzake wanaokuja nyuma yake.

Inabidi vijana wetu mbadilike. Msiwe overly ambitious. Kusimamisha biashara na kujiajiri si lelemama kama mnavyodanganyana most of the time chuo. Huku ground hali ni tofauti!
 
Nimekuelewa sana mkuu
 
Nimekuelewa sana mkuu
Kwa sababu wewe ni fresh bado una nafasi. Tafuta mahali amabako utakaa angalau kwa miaka 5 (Min time ya kujifunza mpaka kujua vizuri hii field ni angalau 3.42 years, approx 3 yrs 6months). Hapo utajifunza mengi sana. Baada ya kumaliza 5years jiulize kama unataka kutafuta kazi bora, unataka kubakia ama unataka kujiajiri. Kwako choice itakuwa as clear as light.

Kwa sasa utakuwa unabahatisha tu kama mtu anayepapasa kwenye chumba chenye giza akimsaka paka mweusi ambaye kimsing hayupo chumbani!
 
Shukrani kiongozi, Nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Back
Top Bottom